Elections 2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

Labda kama watawatoa nje ya CCM lakini kama ni ndani ya CCM hawatampata hata mtu mmoja ambae hanunui uongozi kwa fedha,asiye kula na kutoa rushwa vinginevyo kama wanataka kuiua CCM ambayo imejengwa katika msingi wa kununua uongozi,kutoa rushwa na kupokea rushwa.
 
Yupo ambae hali rushwa wala hanunui uongozi naye ni Jaji Agustino Ramadhani
 
juzi usiku nimemwona makongoro mitaa ya ufipa,sijui anataka kukimbia ccm!!halafu tabia yake ya kupiga misele na lile vx la east africa aache,yani mateja ya pale american chips kinondoni ndio washikaji zake...
eti ndo rais mtarajiwa kila baada ya sentnsi 2 "au sio" mara "au sio mazee" duuhhh shida
 
Yupo ambae hali rushwa wala hanunui uongozi naye ni Jaji Agustino Ramadhani[/QUOTE]

Ni kweli ana sifa hizo, ila hana uwezo wa kuwashinda Ukawa. Turufu pekee ya ccm kurudi ikulu kiulaini ni Makongoro Nyerere
 
vipi tukisema,amisha jua mamavi hata chauliwa ndo maana anajiamini kusema hivyo.
 
 
hizo zilkuwa salamu kwa mzee wa vitisho mamvi ajue kuwa pesa sio kitu akili kwanza,uadirifu na heshima vinaweza kukufanya ukawa mtu wa maana duniani na kwa mungu pia.
 
Wala rushwa na watoa rushwa wao wanauzika sababu wanatoa rushwa kazi ipo kwa kizazi hiki.
 
 
 
Kuna genge hatari limeundwa Kwa masilahi ya mkuu wa shamba LA bibi na wote walipewa vyeo baada tu ya kumtukana ama kumkashifu ama kumuandama ama kumpiga yeyote aliyeonyesha msimamo wa tofauti na mkuu wa Kaya kundi hili linaongozwa na Nape, Ni genge hatari sana na
nilakuogopwa kama uko a.
 
 
Labda aataandamana na watovu wenzake wa adabu wasioheshimu wazee wao!/wanao wapiga baba zao! bila aibu na kupewa vyeo!!!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…