Elections 2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

Elections 2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

vijana wa ccm / wamekuwa WA ajabu sana!/ UTOVU WA NIDHAMU KWAO NI JEMA TU,NA VYEO JUU,HATUJUI HUU NI MSINGI GANI???
 
Mimi raia wa kawaida simtambui nape,,,maneno yako yaishie mwanza... na wale kundi vijana utakounganane ni wa nani!
 
nape ajaribu kuchunga kauli zake kwani ndani ya ccm hakuna ugomvi ila kuna makundi sasa mmoja akiteuliwa makundi yakaungana yeye atajutia matamshi yake.na kama ana ushahidi kwamba kati ya watia nia kuna mla rushwa apeleke malalamiko tume ya maadili .
 
Hivi CCM nani hajatumia pesa ukweli ni kwamba hakuna mwadilifu
 
Namshauri Nape aanze kujiandaa kisaikologia pia kuona Lowassa akiteuliwa kuwa mgombea rasmi wa CCM kwa nafasi ya Urais.
 
Nape amelelewa malezi mazuri sio corrupt na pia ni mzalendo.
 
Tatizo ndani ya ccm hakuna msafi....

kwa hiyo unataka kusema nini!!? hata kama ni kweli ila wanatofautiana kwa viwango vya uchafu, kuna wengine wakioshwa kwa foma tu, wanatakata, ila kuna mwingine ili atakate lazima mtumie conc sulphuric acid, kwa kumloweka humo wiki nzima!! mkimkuta hai ndio atakuwa safi!!! Eti mtu akimsema mtu ohhh ccm hakuna msafi, kwa hiyo wampe tu huyo mafia?!!
 
Yote mijizi tu. Bin Mwandosya juzi juzi tu alikuwa mwembamba lakini baada ya kupewa hako kacheo tu tukaona anaanza kuvimba mnduku na kutumia makalorite.
 
Huyo jamaa atafute Chaka la kujificha mapemaaa,ifikapo tar 12/07/2015 saa 12 jion
 
wote waliotangaza nia ni mafisadi kilichobaki ni kumchagua fisadi mchapakazi Lowassa:A S-fire1::A S-fire1:
 
Nape Ina lako tu la moyoni,km Ina bifu zako hukohuko hatutaki upuuzi wako,najua sasa kengele maskioni mwako zinaanza kulia usiogope matusi na chuki sasa tafuta kichaka ujifiche wewe na makonda,farasi mweupe anakuja sasa.
 
nape tutajia majina ya mafisadi na wala rushwa wenye lengo la kuliingiza taifa letu tukufu kwenye mdomo wa mamba mwenye njaa kali
 
G Sam

Alianza na CCJ alipoambiwa na Mzee Makamba amefungiwa Duniani mpk Haeraa!hahaha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom