Elections 2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

Elections 2015 Nape: Fisadi akipitishwa na CCM nitaongoza kundi la vijana kumpinga

Ndo hapo sasa kitu ambacho kinakuja kunishangaza, wao ndo wenye dola then hawamshugulikii mtu ambae wanajua ni fisadi, wanabaki kupiga makelele...!
 
Atampinga vipi wakati ameshapitishwa? Ina maana atampigia kampeni hasi ili achaguliwe mgombea wa UKAWA?
 
Sasa kwanini CCM ilitoa fomu kwa "fisadi?"

Maandiko matakatifu yanasema hivi!

"Mtu azuiaye kinywa kinywa chake na ulimi wake, Atajilinda nafsi yake na taabu."

Nape, play smart.

Kila mtu aliyekuwa na kiherehere cha kupata fomu alipewa. Hata yule wa darasa la saba naye alipewa, ingawa kigezo kiko wazi kwamba mgombea Urais CCM ni lazima awe na shahada ya Chuo Kikuu.
 
Ukimsikilza Nape unaweza kudhani chama chake kinapenda sana usafi, hivi mgombea gani wa ccm asiye toa RUSHWA? Rushwa na ccm ni kama samaki na maji, ukimtoa samaki majini tu anakufa, awe mkweli, umati huo inaohudhuria mikutano yao umefikaje hapo? Awe mkweli kwa nafsi yake, yeye ana bifu na Lowassa, kiukweli ccm wote (sina hakika na Makongoro pekee) ni wala na watoa RUSHWA, hakuna msafi hapo. Labda tu swali, hivi ile kesi ya Kinana dhidi ya mchungaji Msigwa kwa scandal ya meno ya Tembo iliishia wapi? Halafu huyo uniambie eti anaweza kukemea rushwa, tunadanganyana tu hapa.
 
Ccm imeshatekwa nyara na kundi la mafisadi na wamafia likkiongozwa na edo,hapo anajifulahisha tu lazma edo apite .
 
kama hoja ni kutumia fedha , kila mgombea wa urais CCM anatumia hela. Nape ilibidi aseme anayehonga sana ndo hatakiwi na chama,
 
Uyo nape mfa maji tu, kama yeye msafi xn angeanza na hao waliopiga pesa za escrow
 
G Sam

Ebu atufafanulie kati ya waliotia nia yupi ni fisadi ili atakapoteuliwa tuone anatimiza ahadi yake!

Hata hivyo ni vijana wapi atakaowatumia maana tunaona uongozi wa Jumuiya ya vijana ya chama iko katika makundi ya wasaka urais pia. Kila mtia nia inashangaza anasema lake. Kuna wanaotoa ahadi ya kuunga mkono wengine kila wakifika kwenye mikoa ya washindani wao.

Mwingine anaomba wengine wamuunge mkono bila yete kusema kama atawaunga mkono wao wakichaguliwa! Nape naye anaona kuna wengine ni mafisadi ndani ya chama chao...na Kinana anageuza chama chake kuwa pinzani kwa serikali yake wakati huo huo akiunga mkono madai ya wapinzani ya kuwa chama hicho ni dhaifu!

Kinana leo Mwanza anadai wabunge wa CCM watakaochaguliwa atakaa nao na kuwapa orodha ya kero za wananchi. Ana uhakika gani kwamba atakuwa katika safu ya uongozi wakati hio maana mwenyekiti mpya atakuja na safu yake.
 
Last edited by a moderator:
G Sam


Jiulizeni kabla ya kuandika upuuzi humu ndani. Nani anayemlisha na kumtunza Nnape kama si CCM, na ni viongozi hao hao mafisadi, wezi, wanaohonga watu ndiyo wanampa ulaji. Watanzania muda umefika inabidi tuhamke na kuwapinga Ze Comedy kama hawa, huu si tena mwaka wa 1961....tuko karne ya 21 sasa.
 
Last edited by a moderator:
Vingunge wenyewe wa ccm wametulia tu wananaangalia mwelekeo wa upepo. Nepi yeye anajifanya ndo msemaji wa ccm. Atatumia njia gani kumpinga kama atapitishwa na wenye ccm yao? yeye ajiandae kula malimao tu.
 
Tatizo moja la Nape ni kwamba ni mzuri sana wa kuongea, lakini ikifika wakati wa kutekeleza anachokisema kwa matendo anageuka kuwa simba mfu.
 
Vingunge wenyewe wa ccm wametulia wanaangalia mwelekeo wa upepo. Nepi yeye anajifanya ndio msemaji wa ccm, na atatumia njia gani kumpinga kama wenye ccm yao watampitisha? Yeye ajiandae kula malimao mpaka achoke.
 
Akiongea leo jijini Mwanza, katibu wa itikadi na uenezi wa kamati kuu ya CCM ndugu Nape Nnauye amesema kuwa hana msalie mtume na wanaotumia fedha kununua uongozi.

Aidha Nape Nnauye ameweka wazi kuwa endapo CCM itampitisha fisadi kuwania uongozi wa juu kwa tiketi ya chama hicho basi ataongoza kundi la vijana kumpinga.

Nape ametahadharisha kuwa anayetumia fedha kusaka uongozi ili kuwaaminisha wana-CCM kuwa anakubalika hana nafasi kamwe. Nape ameonya kuwa anayetumia fedha kusaka uongozi akishaupata ataanza kurudisha gharama alizotumia kwanza!
Huyu pimbi tako linachemka anaangalia mbele anaona giza na nyuma historia ya domo lake inamsuta kumtukana lowassa na ni dhahiri sasa Lowassa anakwenda kuteuliwa na ccm nape chupi inabana na tumbo lako
 
juzi usiku nimemwona makongoro mitaa ya ufipa,sijui anataka kukimbia ccm!!halafu tabia yake ya kupiga misele na lile vx la east africa aache,yani mateja ya pale american chips kinondoni ndio washikaji zake...

Ndio Makongoro Na Awe Raisi Ili Gongo Iwekwe Kwenye Vikaratasi Ninyonye Mdogomdogo Na Pia Bruariz Zijengwe Kila Wilaya Na Depo Kwa Kila Kijiji
 
alitakiwa kusema wanaotumia pesa nyingi, sio pesa tu. kingunge aliwahi kusema hakuna ambaye hatumii pesa ccm
 
Back
Top Bottom