Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana tuungane na Nape kupinga nchi yetu isichukuliwe na mafisadi. Wazalendo wote tutakuwa na Nape
Akiongea leo jijini Mwanza, katibu wa itikadi na uenezi wa kamati kuu ya CCM ndugu Nape Nnauye amesema kuwa hana msalie mtume na wanaotumia fedha kununua uongozi.
Aidha Nape Nnauye ameweka wazi kuwa endapo CCM itampitisha fisadi kuwania uongozi wa juu kwa tiketi ya chama hicho basi ataongoza kundi la vijana kumpinga.
Nape ametahadharisha kuwa anayetumia fedha kusaka uongozi ili kuwaaminisha wana-CCM kuwa anakubalika hana nafasi kamwe. Nape ameonya kuwa anayetumia fedha kusaka uongozi akishaupata ataanza kurudisha gharama alizotumia kwanza!
Angemtaja tu Edward Lowassa tujue moja.

Hivi kama hawa ccm wamegundua kuwa mtu ananunua uongozi/anatumia pesa kutafuta uongozi, takukuru wako wapi kwann wasimfikishe mahakaman sio kupiga makelele
.....hii ni sawa na kutoanga maji kwenye kinu!...... By the way kumbe ccm mnajijua kuwa mnamafisadi kwenye chama chenu, kwanini msiwachukulie hatua, pia nyie si ndo serikali, so makali ya serikali yapo wapi..?
P..b.v. saana mnabaki kupiga makelele tu