MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Gia za angani hizi! Kwahiyo Nape anajivua lawama! Itafika mahali kila mwana CCM ataikana CCM na ndio mtajua CCM ni nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We Dada MTU anaweza kudhani huwa umeelimika asipokuelewa vizuri. Unaexposure lkn ushamba wakisisiemu umekuganda.Elewa kimantiki wewe,mbona hata kiinglish cha marekani na ingland kinatofautiana? Mbona Warusi wanaongea lafudhi tofauti na kuweka ma "r" mengi lkn wanaeleweka!Akili= akiri
Si unaona akili zenu zilivyo? Neno moja linabadilisha kabisa maana ya sentensi, mkiambiwa shule mlienda kusomea ujinga mnapayuka.
We Dada MTU anaweza kudhani huwa umeelimika asipokuelewa vizuri. Unaexposure lkn ushamba wakisisiemu umekuganda.Elewa kimantiki wewe,mbona hata kiinglish cha marekani na ingland kinatofautiana? Mbona Warusi wanaongea lafudhi tofauti na kuweka ma "r" mengi lkn wanaeleweka!
Ongelea hoja,mmeanza kupingana juu ya bunge live,bado ndege zakusukumwa nawatu kama maguta,bado kufunga viongozi kiss kutofautiana hoja,bado uendeshwaji wabunge kiubabe was kitoto,bado mahakama kuingiliwa,bado kuzuia mikutano ya wapinzani,bado elimu bure ilododa,bado koroshow,bado viwanda feki,bado utekaji na uteswaji na upotezwaji wawatu,bado uchumi doro na uwekezaji mdogo,bado pesa kushuka thamani,bado madc viherehere,bado katiba mpya kusimamishwa namtu mmoja....nk. ongezea mengine maana unayajua
Gia za angani hizi! Kwahiyo Nape anajivua lawama! Itafika mahali kila mwana CCM ataikana CCM na ndio mtajua CCM ni nini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zako uliziacha siku nyingi hivi sasa unafuata tu midundo!
Huna lolote, sema umekosa cha kukosoa ndio ukaona uje na hilo, nyuzi zingine uwe unapita kimya tu, sio lazima uandike