We Dada MTU anaweza kudhani huwa umeelimika asipokuelewa vizuri. Unaexposure lkn ushamba wakisisiemu umekuganda.Elewa kimantiki wewe,mbona hata kiinglish cha marekani na ingland kinatofautiana? Mbona Warusi wanaongea lafudhi tofauti na kuweka ma "r" mengi lkn wanaeleweka!
Ongelea hoja,mmeanza kupingana juu ya bunge live,bado ndege zakusukumwa nawatu kama maguta,bado kufunga viongozi kiss kutofautiana hoja,bado uendeshwaji wabunge kiubabe was kitoto,bado mahakama kuingiliwa,bado kuzuia mikutano ya wapinzani,bado elimu bure ilododa,bado koroshow,bado viwanda feki,bado utekaji na uteswaji na upotezwaji wawatu,bado uchumi doro na uwekezaji mdogo,bado pesa kushuka thamani,bado madc viherehere,bado katiba mpya kusimamishwa namtu mmoja....nk. ongezea mengine maana unayajua