Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Aug 20, 2022 #21 Huyu jamaa kila kitu anachukulia poa, na hivi wamemrudisha uwaziri anajiona km nchi yake peke yake manina sana
Huyu jamaa kila kitu anachukulia poa, na hivi wamemrudisha uwaziri anajiona km nchi yake peke yake manina sana
Bugucha JF-Expert Member Joined Jan 3, 2020 Posts 3,374 Reaction score 13,922 Aug 20, 2022 #22 Nchi inatawaliwa na kina janjaro,alafu upeleke ushahidi?