GE2025 Nape: Katiba iache tusubiri tumalize Uchaguzi, Wanaosusa waache wasusue

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
“Nikamwambia Rais, haya yanayohitaji Katiba, tufanye uchaguzi kwanza tukimaliza uchaguzi tutayashughulikia… na hii ilikua busara na mimi naipongeza sana zile kamati, kwa sababu taifa lilikuwa kwenye mchakato wa uchaguzi.

Katiba haitungwi kuwa ni Katiba ya Uchaguzi inatungwa kuwa ni Katiba ya maisha ya watu…tukiitunga tunaenda kwenye uchaguzi tutatunga Katiba ya uchaguzi. Busara hiyo ndio ikakipelekea Chama cha Mapinduzi kuingiza suala la Katiba Mpya kwenye ilani yake…uungwana wa huyu mama(Rais Samia Suluhu).Sasa jamaa zangu pamoja na kupewa yote wakazira(kususa)”- Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Mtama, Nape Nnauye
 
Bumunda kama bumunda,siku yule askari alitakiwa apasue bichwa lile kama mwendo kasi
 
“Nikamwambia Rais, haya yanayohitaji Katiba, tufanye uchaguzi kwanza tukimaliza uchaguzi tutayashughulikia… na hii ilikua busara na mimi naipongeza sana zile kamati, kwa sababu taifa lilikuwa kwenye mchakato wa uchaguzi.

Katiba haitungwi kuwa ni Katiba ya Uchaguzi inatungwa kuwa ni Katiba ya maisha ya watu…tukiitunga tunaenda kwenye uchaguzi tutatunga Katiba ya uchaguzi. Busara hiyo ndio ikakipelekea Chama cha Mapinduzi kuingiza suala la Katiba Mpya kwenye ilani yake…uungwana wa huyu mama(Rais Samia Suluhu).Sasa jamaa zangu pamoja na kupewa yote wakazira(kususa)”- Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Mtama, Nape Nnauye
Muzee mara hii hamuna bao la mukono,pia hamuna tikii!
 
Pumbav kabisa Kuna sehemu anasema "nikamwambia rais tukakubaliana."
Wakuu between the lines mmelewaje hapo?!
Suala la Katiba lipo kwa miaka 40 kuanzia akina Nayalali hadi Wariobambon a hawakulishughulikia wakati huo!

Watanzania wanapaswa kuelewa kwamba watu wawili au watu wanaweza kuamua hatma ya nchi si Wananchi. Katika mazingira hayo uchanguzi ni wa nini? Na lini Wananchi wataamua hatma yao.
 
“Nikamwambia Rais, haya yanayohitaji Katiba, tufanye uchaguzi kwanza tukimaliza uchaguzi tutayashughulikia… na hii ilikua busara na mimi naipongeza sana zile kamati, kwa sababu taifa lilikuwa kwenye mchakato wa uchaguzi.

Katiba haitungwi kuwa ni Katiba ya Uchaguzi inatungwa kuwa ni Katiba ya maisha ya watu…tukiitunga tunaenda kwenye uchaguzi tutatunga Katiba ya uchaguzi. Busara hiyo ndio ikakipelekea Chama cha Mapinduzi kuingiza suala la Katiba Mpya kwenye ilani yake…uungwana wa huyu mama(Rais Samia Suluhu).Sasa jamaa zangu pamoja na kupewa yote wakazira(kususa)”- Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Mtama, Nape NnMpumbavu

“Nikamwambia Rais, haya yanayohitaji Katiba, tufanye uchaguzi kwanza tukimaliza uchaguzi tutayashughulikia… na hii ilikua busara na mimi naipongeza sana zile kamati, kwa sababu taifa lilikuwa kwenye mchakato wa uchaguzi.

Katiba haitungwi kuwa ni Katiba ya Uchaguzi inatungwa kuwa ni Katiba ya maisha ya watu…tukiitunga tunaenda kwenye uchaguzi tutatunga Katiba ya uchaguzi. Busara hiyo ndio ikakipelekea Chama cha Mapinduzi kuingiza suala la Katiba Mpya kwenye ilani yake…uungwana wa huyu mama(Rais Samia Suluhu).Sasa jamaa zangu pamoja na kupewa yote wakazira(kususa)”- Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Mtama, Nape Nnauye
Mpumbavu huyo.
 
Back
Top Bottom