Bams JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 19,362 Reaction score 48,879 Jul 20, 2024 #41 Mystery said: Sasa alikuwa na maana gani ya kultuletea 4R's wakati akijua kuwa ni changa la macho?? Click to expand... CCM huwa inaongoza kwa hadaa. 4Rs ni usanii tu, hakuna dhamira ya dhati.
Mystery said: Sasa alikuwa na maana gani ya kultuletea 4R's wakati akijua kuwa ni changa la macho?? Click to expand... CCM huwa inaongoza kwa hadaa. 4Rs ni usanii tu, hakuna dhamira ya dhati.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 20, 2024 #42 Muda utaongea... Cc: Mahondaw
MWL RAMADHANI ATHUMANI Member Joined Jun 8, 2024 Posts 85 Reaction score 105 Jul 20, 2024 #43 Ameomba radhi kwanini kung'ang'ana!!? Kukosea ni sehem ya maisha ya mja!