Bwana Nape nikukumbushe tu hii nchi sio ya CCM wala ya Baba yako! Unataka kuuamisha uma ya kuwa nje ya kundi unaloliona wewe basi CCM haipo wala nchi haitawaliki! CCM itapita lakini Tanzania itabakia na kitu kikubwa kukumbuka ni kuwa Taifa ni zaidi ya ukoo au kikundi. Unauhuru wa kutoa mawazo lakini ujue kitakachokufanya wewe Nape uaminike sio ulizaliwa na nani bali ni utendaji wako wa kazi!