WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Akili mfu hizi kama za mwendazake.IQ ya huyu jamaa ni ndogo sana. Inapitwa kwa mbali na ile ya King Msukuma mwenye PhD ya darasa la saba. Watu wa Mtama wanapaswa kuamuka na kumfutilia mbali mtu huyu mwenye siasa za kihuni. Tunatumaini 2025 wana Mtama na wana CCM kwa ujumla watamtupa mhuni huyu kwenye dustbin akawe chakula cha viroboto!