LGE2024 Nape: Migogoro ya CHADEMA ni dalili za kuvunjika kama CUF na NCCR Mageuzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema migogoro inayoendelea kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni dalili za kuvunjika kwa chama hicho.

Vyama vyote vya Siasa vikikaribia kufa au kufutika kwenye ramani wananza kupigana wenyewe kwa wenyewe.

Nape ameyasema hayo Mkoa Rukwa kwenye uzinduzi wa kampeni za wagombea wa CCM katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Naye Ni zuzu tu kama walivyo wengine, makundi ya ndani ya CCM huko hayaoni Ila analiona Kundu la wengine
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema migogoro inayoendelea kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni dalili za kuvunjika kwa chama hicho.

Vyama vyote vya Siasa vikikaribia kufa au kufutika kwenye ramani wananza kupigana wenyewe kwa wenyewe.

Nape ameyasema hayo Mkoa Rukwa kwenye uzinduzi wa kampeni za wagombea wa CCM katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

ANAWAPA UKWELI MCHUNGU AMBAO HAWAUPENDI WANACHADEMA LAINI HUO NDIYO UKWELI
 
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema migogoro inayoendelea kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni dalili za kuvunjika kwa chama hicho.

Vyama vyote vya Siasa vikikaribia kufa au kufutika kwenye ramani wananza kupigana wenyewe kwa wenyewe.

Nape ameyasema hayo Mkoa Rukwa kwenye uzinduzi wa kampeni za wagombea wa CCM katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Hili bumunda kwani halijui kuwa huko CCM ndiyo kuna makundi tena ya hatari.
 
Back
Top Bottom