Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
nape npo hapa nakutzma tuNape ni mchumia tumbo
[emoji1787][emoji1787]Nape ni mchumia tumbo
na wala asingefunga sehem ya comment kule twitterAngekuwa ana ngozi ngumu, asingetumia fake ID.
Hajataja ID yake utamchallenge vipi?Kumbee,bas ndo watazidi kukuchallenge
Nape ametujeuka...hela zetu nyingi sasa zinaishia kwenye bundle badala ya unga na ndio maana njaa inazidi kulalamikiwa + ugumu wa maisha...walianza kwa bando za bei rahisi baada ya kuona tumekuwa addicted sasa wametupandishia nawanajua tutanunua, badala ya kuogopa kumsema hapa tumwambie ukweli...jina lake halipo kwenye wakombozi wa walala hoi 😭Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.
Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.
Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.
Nafuatilia youtube
Yaan ivi kajiweka waz yumo humu watu wataongeza mada about him kwa kuzidiHajataja ID yake utamchallenge vipi?
Aendelee kuwa nasi ila aje na hekima na busara ambayo mara zote amekuwa hana, amejaa dharau jeuri na kibri na kutetea makampuni.Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.
Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.
Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.
Nafuatilia youtube
ID anazo mbili, Moja ya mpwayungu village na nyingine ni ya rikiboy . Hizo ndizo ID zake, nilishawahi ona siku 1 anazitumia.Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums.