Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
alimuoa dada mmoja anaitwa tumaini hemedi, alikuwa anaishi changanyikeni UDSM! tumaini alikuwa na mtoto wa nje kabla hajaolewa na nape, nape na tumaini waliunganishwa na dada mmoja, mtoto wa late prof masuha anaitwa lilian, alikuwa anasoma chuo cha diplomasia na nape kurasini.
so one day tumaini alikwenda kumvisit lilian, ndio nape kumuona tumaini, akampenda na kuja kumuoa. kipindi hicho hana pesa, alikuwa anakaa changanyikeni kwa in-laws! i heard walipart ila sikujua kiundani! but tumaini was sooooo beautiful!, beautiful in-deed!
uko sahihi
Tumaini ni mzuri ila si ki hivyo, she is just loose, sory to say that
i was there wanachumbiana, wanafunga ndoa, wanaenda mtwara: Tumaini analala na mwarabu, anakiri mbele yetu
Nape semeni ubaya wowote, the guy mvumilivu sana tena sana
Tumaini alizalishwa mtoto mmja na ametelekezwa wakati Tumain ndiye aliyekuwa akimweka Nape mjini kipindi chote kile hakuwa na kitu aliishi nae Changanyikeni kwenye nyumba ya Wazazi wa Tumaini sasa huyu bi mdogo kwao ni wakshua Nape aliogopa baada ya kutishwa na ndugu zake Roby na wazazi wake aaamua kufunga ndoa ya siri tena ilitakiwa ifungiwe Israel kwa uficho zaidi,Mama wa bibi harusi huyu ni mkurugenzi wa Bank maarufu hapa tz na baba yake ni tajiri sana.
Ni kweli Nape alikaa kwa mkwe wake kwa muda kama miezi 8, akaenda nje kusoma akarudi na kuendelea na maisha yake
akaenda mtwara, na ndiko ndo ailikovunjikia
mnaandaika kana kwamba Nape ni mkorofi au player: Jamani mnachuma dhambi
kama unabisha jibadilishe uwe mwanaume kamtongoze Tumaini pale saloon kwao changanyikeni, uone kama atakataa