Mama Terry
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 420
- 573
rip, alikua ana watoto na Nape?Rest in Peace Tumaini.
Poleni Mzee S. Hemedi,Babu na wadogo zako. Tuaondoka wengi hapa...
Anao wawili nadhanirip, alikua ana watoto na Nape?
I think this is photoshop..!
KUMBE HATA WEWE UMELIONA HILO YAANI HIYO NI PHOTOSHOP KABISA WATU HAWAJUII think this is photoshop..!
Mbona yeye hajatajwa hapo, au hamkumbuki bab yake!!!!!!Hawa wanafamilia waliotajwa hapa walihudhuria?
What happened ? MUNGU Amlaze mahali pema peponi amen.Tumaini Hemedi amefariki dunia Jana.Mungu amlaze mahali pema peponi Amina.She was so beautiful indeed
Toa kwanza pole kwa wafiwa ndio tuendelee na kilichomuondoa marehemHuu uzi una ubuyu 1st classs
Aliugua ghafla .Wanazika Leo Goba.Msiba upo sehemu mbili kwa mumewe na nyumbani kwao Mbuyuni.What happened ? MUNGU Amlaze mahali pema peponi amen.
Huyo ni binti wa Kikurya,babake ni marehemu mzee Mkami wa pale Tarime juu bomani.
Mambo yaligubikwa na usiri mkubwa sana,I think Nape alikwishaoa kabla
Tumaini Hemedi amefariki dunia Jana.Mungu amlaze mahali pema peponi Amina.She was so beautiful indeed
Aliugua ghafla .Wanazika Leo Goba.Msiba upo sehemu mbili kwa mumewe na nyumbani kwao Mbuyuni.
Weka picha yakeAmeenda na uzuri wake.
View attachment 527067
Katika pozi, baada ya kuaga rasmi ukapela na kuingia ktk majukumu.
Hongera sana na karibu katika chama chetu cha wenye ndoa. Waswahili wanasema "ndoa ndoano".
Vipi wa saizi anajali eee! Haaaaa watanzania kwa kulaumu hatujamboUmeona mkuu??
Naomba niweke wazi kuwa Tz tuna hasara ya mwaka!! Kuwa na Rahisi asiyejali umuhimu wa nafasi nyeti katika utumishi wa umma!! Hii ndo inawapa jeuri hawa ma-DC mpaka wanatukana wenzao kuwa wana degree za pichu (isome kutokea kulia)!! Hapa ndo tunapofika na kuwasikia hata mazombie wanataka urais, maana kipimo chao kimekuwa kwa mkwe.re!! Kama yeye ameweza kwa nini sisi tusiweze?
Ndio haya tunayoyaona mkuu, huyu ni mmoja kati ya mazombie niliyoyasema kipindi hicho nayo yalikuwa yanautaka urahisi!!Vipi wa saizi anajali eee! Haaaaa watanzania kwa kulaumu hatujambo
Ardhi inameza watu balaaNasikia Tumaini amefariki..........