hebu funguka zaidi mkuu..
Alifunga ndoa na Tumaini Hemed mwaka 2006,waliachana Nape ana michepuko mingi.Rhobi mfupa uliomshinda Tumaini utauweza?Kumbe alikuwaga Bachelor huyu Nape...........
hee! huyu dada mbona alikuwa shemeji yenu?? tuliachana mwaka juzi, toka tulipoachana cjawahi muona tena, kumbe nnape aliweka ndani, hahhaaahahahahaha siamini jamani loh, nnape pole kwa kula bakshishi zangu
Alifunga ndoa na Tumaini Hemed mwaka 2006,waliachana Nape ana michepuko mingi.Rhobi mfupa uliomshinda Tumaini utauweza?
Kweli kabisa pale FPCT kwa mchungaji Abeli,Nape bwanainasemekana,Kabla ya siasa Alishawahi kuoa,na alikuwa muumini wa kanisa la kipentekoste pale ilala,Amana vijana center.nadhani ni ndoa ya pili.
Mungu aibariki ndoa yake na changamoto za ndoa ukiwa mwanasiasa maarufu
hee! huyu dada mbona alikuwa shemeji yenu?? tuliachana mwaka juzi, toka tulipoachana cjawahi muona tena, kumbe nnape aliweka ndani, hahhaaahahahahaha siamini jamani loh, nnape pole kwa kula bakshishi zangu
inasemekana,Kabla ya siasa Alishawahi kuoa,na alikuwa muumini wa kanisa la kipentekoste pale ilala,Amana vijana center.nadhani ni ndoa ya pili.
Mungu aibariki ndoa yake na changamoto za ndoa ukiwa mwanasiasa maarufu
Kumbe alikuwaga Bachelor huyu Nape...........
Huyo ni binti wa Kikurya,babake ni marehemu mzee Mkami wa pale Tarime juu bomani.
Mambo yaligubikwa na usiri mkubwa sana,I think Nape alikwishaoa kabla
Kumbe sikuzote alikuwa anazini smh.
Babu Slaa mpaka leo anazini, hajawahi kufunga ndoa.