Nape Moses Nnauye afunga ndoa

Nape Moses Nnauye afunga ndoa

hee! huyu dada mbona alikuwa shemeji yenu?? tuliachana mwaka juzi, toka tulipoachana cjawahi muona tena, kumbe nnape aliweka ndani, hahhaaahahahahaha siamini jamani loh, nnape pole kwa kula bakshishi zangu
 
Kaoa au kabariki ndoa?Na yule demu wa DTV kaamua kumuachia Rostam?
 
Dah...kumbe jamaa bado alikuwa kapera! Hongera mkuu kwa kuamua kuucha ukapera
 
hee! huyu dada mbona alikuwa shemeji yenu?? tuliachana mwaka juzi, toka tulipoachana cjawahi muona tena, kumbe nnape aliweka ndani, hahhaaahahahahaha siamini jamani loh, nnape pole kwa kula bakshishi zangu

hahaaa na wewe utakula bakshishi za wenzio pia
 
inasemekana,Kabla ya siasa Alishawahi kuoa,na alikuwa muumini wa kanisa la kipentekoste pale ilala,Amana vijana center.nadhani ni ndoa ya pili.
Mungu aibariki ndoa yake na changamoto za ndoa ukiwa mwanasiasa maarufu
Kweli kabisa pale FPCT kwa mchungaji Abeli,Nape bwana
 
hee! huyu dada mbona alikuwa shemeji yenu?? tuliachana mwaka juzi, toka tulipoachana cjawahi muona tena, kumbe nnape aliweka ndani, hahhaaahahahahaha siamini jamani loh, nnape pole kwa kula bakshishi zangu

Nguo iliyochakaa ni dekio jipya.
Mpenzi wako wazamani ni mpenzi mpya wa Nape na mpenzi wako mpya ni mpenzi wa zamani wa Nape.
 
inasemekana,Kabla ya siasa Alishawahi kuoa,na alikuwa muumini wa kanisa la kipentekoste pale ilala,Amana vijana center.nadhani ni ndoa ya pili.
Mungu aibariki ndoa yake na changamoto za ndoa ukiwa mwanasiasa maarufu

mkuu unamaanisha kuwa Nape anawake wawili? ama sijakuelewa?
 
Kumbe siku zote hiz o alikuwa anazini! Pole yake
 
nilikuwa najiuliza kila siku hivi huyu nape kwanini simuelewi hotuba zake kumbe alikuwa hajaoa sasa nimepata jibu.
 
Back
Top Bottom