Anthony Mtaka,Dc wa Mvomero hajaoa mpaka leo.
Hii kwa kweli si nzuri sana kwa mtu anaeongoza kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya.
Anthony Mtaka,Dc wa Mvomero hajaoa mpaka leo.
Hii kwa kweli si nzuri sana kwa mtu anaeongoza kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya.
Dada nimeamini unamfahamu huyu mzee wa michepuko. Ila kweli watu wanabadilika. Enzi zile kijana kaokoka mwenyewe full kuabudu pale Amana Vijana Center, usingeamini angefunga ndoa ya kuzini (wakati mke wake halali yuko hai). Mke mwenyewe mbona kama kamzidi umri huyu? Mapenzi hayaoni kabisa?
Alifunga ndoa na Tumaini Hemed mwaka 2006,waliachana Nape ana michepuko mingi.Rhobi mfupa uliomshinda Tumaini utauweza?
Wana JF,
Kwa taaarifa sahiii kutoka kwenye chanzo chetu kutoka huko Arusha kuwa Nape Nnauye Katibu Muenezi CCM kupata jiko lake week ijayo,
Habari zinasema kuwa leo katika Mji wa Arusha katika viwanja vya General Tyre kunafanyika Send off(Party) na Bibi harusi mtarajiwa kwa jina ni Mary Massenge Sherehe hii iatanyika kuanzia jioni saaa Moja leo.
Na baaada ya Send off Week Ijayo Ndio Harusi itafanyika Dar.
Wadau hizo ndizo habari zilizo tufikia to Arusha.
Siku Njema na SEND OFF NJEMA kwa wakazi wa Arusha
huyo jamaa alishaoa, tena wakati akiwa hana kitu alihifadhiwa na baba mkwe wake Changanyikeni baada ya mambo kuanza kuwa mazuri akamtelekeza mke wake, nae akaamua kwenda nje ya nchi kujisahaulisha na kadhia za huyo jamaa.
ktk pozi,baada ya kuaga rasmi ukapela na kuingia ktk majukumu.Hongera sana na karibu ktk chama chetu cha wenye ndoa
waswahili wanasema "ndoa ndoano"
Babu Slaa mpaka leo anazini, hajawahi kufunga ndoa.
Huyo ni binti wa Kikurya,babake ni marehemu mzee Mkami wa pale Tarime juu bomani.
Mambo yaligubikwa na usiri mkubwa sana,I think Nape alikwishaoa kabla
inasemekana,Kabla ya siasa Alishawahi kuoa,na alikuwa muumini wa kanisa la kipentekoste pale ilala,Amana vijana center.nadhani ni ndoa ya pili.
Mungu aibariki ndoa yake na changamoto za ndoa ukiwa mwanasiasa maarufu
huyo jamaa alishaoa, tena wakati akiwa hana kitu alihifadhiwa na baba mkwe wake Changanyikeni baada ya mambo kuanza kuwa mazuri akamtelekeza mke wake, nae akaamua kwenda nje ya nchi kujisahaulisha na kadhia za huyo jamaa.
Zamu ya mnyika sasaNape kamanda mnyika ulimwalika?
Nape nakuuliza baba yako lowassa alihudhuria harusi yako?kama ndio weka picha umma ushuudie papaa