Nape Moses Nnauye afunga ndoa

Nape Moses Nnauye afunga ndoa

Anthony Mtaka,Dc wa Mvomero hajaoa mpaka leo.

Hii kwa kweli si nzuri sana kwa mtu anaeongoza kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya.

nimemfumania mtaka akitoa mahali maeneo ya 8 8 hapa moro mpe muda ndoa yake hipo njiani mkuu
 
Anthony Mtaka,Dc wa Mvomero hajaoa mpaka leo.

Hii kwa kweli si nzuri sana kwa mtu anaeongoza kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya.

Kaka umeona mbali sana lakini je, washauri wa JK wanalizingatia hili au ndio kukimbilia kuyafungia magazeti wakati hawajaziba mwanya?
 
Dada nimeamini unamfahamu huyu mzee wa michepuko. Ila kweli watu wanabadilika. Enzi zile kijana kaokoka mwenyewe full kuabudu pale Amana Vijana Center, usingeamini angefunga ndoa ya kuzini (wakati mke wake halali yuko hai). Mke mwenyewe mbona kama kamzidi umri huyu? Mapenzi hayaoni kabisa?

jamani,mwacheni nape ajilie vyake
 
Alifunga ndoa na Tumaini Hemed mwaka 2006,waliachana Nape ana michepuko mingi.Rhobi mfupa uliomshinda Tumaini utauweza?

mbona hii post inasema tofauti?

Wana JF,

Kwa taaarifa sahiii kutoka kwenye chanzo chetu kutoka huko Arusha kuwa Nape Nnauye Katibu Muenezi CCM kupata jiko lake week ijayo,

Habari zinasema kuwa leo katika Mji wa Arusha katika viwanja vya General Tyre kunafanyika Send off(Party) na Bibi harusi mtarajiwa kwa jina ni Mary Massenge Sherehe hii iatanyika kuanzia jioni saaa Moja leo.

Na baaada ya Send off Week Ijayo Ndio Harusi itafanyika Dar.

Wadau hizo ndizo habari zilizo tufikia to Arusha.

Siku Njema na SEND OFF NJEMA kwa wakazi wa Arusha

https://www.jamiiforums.com/habari-...arusi-ya-nape-week-ijayo-dar-es-salaam-3.html
 
huyo jamaa alishaoa, tena wakati akiwa hana kitu alihifadhiwa na baba mkwe wake Changanyikeni baada ya mambo kuanza kuwa mazuri akamtelekeza mke wake, nae akaamua kwenda nje ya nchi kujisahaulisha na kadhia za huyo jamaa.

ni kweli kabisa...tena kazaa nae
 
1891079_690906487640003_1909330052_n.jpg

ktk pozi,baada ya kuaga rasmi ukapela na kuingia ktk majukumu.Hongera sana na karibu ktk chama chetu cha wenye ndoa
waswahili wanasema "ndoa ndoano"

Nape kamanda mnyika ulimwalika?
 
Huyo ni binti wa Kikurya,babake ni marehemu mzee Mkami wa pale Tarime juu bomani.

Mambo yaligubikwa na usiri mkubwa sana,I think Nape alikwishaoa kabla

Kishazaa naye watoto watatu..huyu binti anafanya kazi halmashauri ya,bagamoyo
 
Kumbe alikua ajaoa!!!!!!! Ndo maana muda wote alikua na wenge.
 
inasemekana,Kabla ya siasa Alishawahi kuoa,na alikuwa muumini wa kanisa la kipentekoste pale ilala,Amana vijana center.nadhani ni ndoa ya pili.
Mungu aibariki ndoa yake na changamoto za ndoa ukiwa mwanasiasa maarufu

We ni dini gani? Wakristo wanaoa mara mbili? Au kaoa kwa dc
 
huyo jamaa alishaoa, tena wakati akiwa hana kitu alihifadhiwa na baba mkwe wake Changanyikeni baada ya mambo kuanza kuwa mazuri akamtelekeza mke wake, nae akaamua kwenda nje ya nchi kujisahaulisha na kadhia za huyo jamaa.

Na mimi nakumbuka hivyo alikuwa anaishi na yule mwanamke kwenye apartments za baba mkwe ambaye alikuwa afisa mstaafu wa JWTZ.
 

Ki ukweli harusi ilikuwa safi sana japo sijashiriki lakini picha inajieleza kabisa.

HONGERA SANA!!!
 

Attachments

  • NAPE.jpg
    NAPE.jpg
    44.1 KB · Views: 3,563
Back
Top Bottom