Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Tupe uhusiano wa Nape na Moses Nnauye hapo ndo tutaelewa swali lako.
Duu akili hata haipo Kwenye harusi anawawaza Lissu tu hahhhahhha
Jamaa mzuri kuliko mke.hapa ndo mana unaambiwa unatakiwa uwe na mke mzuri tabia tutarekebishana tu
ukichunguza kwa undani utakuta ni umarioo ndio umemuweka hapo, halafu mbona ni mzee huyu mwanamke?
afadhali nawe umeliona hilo.hapo ndo kapodolewa mpk kioo kimeomba poo.ukichunguza kwa undani utakuta ni umarioo ndio umemuweka hapo, halafu mbona ni mzee huyu mwanamke?