Nape Moses Nnauye afunga ndoa

Nape Moses Nnauye afunga ndoa

Jamaa mzuri kuliko mke.hapa ndo mana unaambiwa unatakiwa uwe na mke mzuri tabia tutarekebishana tu
 
Jamaa mzuri kuliko mke.hapa ndo mana unaambiwa unatakiwa uwe na mke mzuri tabia tutarekebishana tu

ukichunguza kwa undani utakuta ni umarioo ndio umemuweka hapo, halafu mbona ni mzee huyu mwanamke?
 
Kwa kweli wanaume wazuri hua wanaoa wanawake wenye sura kama za kaka zao
 
IMG-20140309-WA0008.jpg



DSC_4891.JPG


Mr. and Mrs. Makamba


DSC_5101.JPG


Kaka yake Nape; Abeid Nnauye akiwa na Mrembo wake...
 
hongera zako, tunamkaribisha kwenye chama cha watu wazima, aache uropokaji sasa, sisi watu wazima hatuko namna hiyo
 
Duh kakake nape anafanana na nape kopiraiti...inaonekana mzee nnauye akuwa na mchezo kwenye kazi muhimu za kutengeneza watoto...kumbe nape kapata jiko...hongrea mwanajf nape kwa kuwa na jiko ....kazi si kuoa, kazi ni kudumu na ndoa, all the best.............
 
Mh.......mbona kama kuna rafu zimechezeka hapa.........anayeoa ni Nape na huyo aliyekaa na mrembo pembeni ni kaka yake Nape?
 
Back
Top Bottom