LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Acha tu ndugu yangu.Dada mkubwa yule hatunae tena. Maisha kitu cha ajabu sanaLikud the world is so small. Tumaini alikuwa ni mshakaji wangu wa siku nyingi (last time we had a drink together pale Mikocheni Regency). Lakini sikuwa kujua kwamba alizaa/alikuwa mke wa Nape! Though nilijua alikuwa na watoto wawili kama sikosei. Na hakuwahi kuniambia kwamba Nape alikuwa mzazi mwenzie.
Halafu unasema amefariki? This is tragic jamani! She was a beautiful soul. What happened??
May Allah Rest her Soul in Peace...Kweli duniani tunapita aisee.
Poleni kwa wafiwa wote jamani!