Nape Mosses Nnauye ni mwanafunzi halali wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

Nape Mosses Nnauye ni mwanafunzi halali wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

Kindeena

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2017
Posts
11,462
Reaction score
21,124
1703328730403.jpg
 
Nilitaka nishangae maana udahili wa mwanafunzi elimu ya juu ili utoke lazima upite kwenye mamlaka kadhaa!!

Unaweza kudanganya chuo hata mamlaka pia!??

Huyu jamaa alijiendeleza, kuna nchi hazihitaji ufaulu mkubwa wa form four!! WaTZ wengi hatujui tunang'ang'ana kuresit!
 
Daah Mwanafunzi mmoja anatetewa huyo balaa kumbe jamaa hata Lungu la kuulia nyumbu hana ndio kwanza anataka kusota nalo kwa utetezi huu mpeni tu hiyo Degree hata mwakani...
 
Daah Mwanafunzi mmoja anatetewa huyo balaa kumbe jamaa hata Lungu la kuulia nyumbu hana ndio kwanza anataka kusota nalo kwa utetezi huu mpeni tu hiyo Degree hata mwakani...
Vipi kwani Mh hana sifa nini za kudahiliwa mbona anatetewa kwa nguvu kubwa hivyo.
 
Back
Top Bottom