Nape na January Makamba mpaka sasa sijaona shukrani zenu kwa rais Samia kwa kuwapa dhamana mlizokuwa nazo, je ni nongwa ya kutumbuliwa?

Umejuaje kama hawajamshukuru
 
Kwa hiyo wakishashukuru🤔.

Acheni kusifu na kuabudu,ujinga ndo umewajaa watz
 
Ninajua: Kama wakati huo alıtoa tamko kwa nini asifanye hivyo sasa?
 
nadhani hakuna haja kubebeana misalaba 🐒
Haya wasalimie huko wengine sahv tunaelekea hukuuuu
Endeleeni kuwapigia vyapuo wenzenu 😄

Ova
 

Attachments

  • IMG-20240723-WA0020.jpg
    126 KB · Views: 4
Hao vijana ukiona wanatoa Shukrani kwako jipange haraka haraka. Ni watoto wa mjini , waswahili,wafitini . Wakishamaliza kukusoma vzr ,wanarudi kuomba radhi. Rejea Kwa Jpm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…