Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

Tayari walishapotea huku legacy ya Magufuli ikiendelea kupasua anga
 
Makamba alikukosea nini ndugu??
 
Hilo kenge la chato unalolitetea hapa ndio imeharibu hii nchi. Maovu yote Yanayoendelea yeye ndio muasisi
 
Eric Kabendera amemfuta mamba kwenye kina kirefu cha maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…