Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

Ndani ya mwaka mmoja tayari serikali hii imeshakopa fedha nyingi mpaka Ndugai akasema tutapigwa mnada.
 
Tukumbushane,

Wakati mijadala mingine ikiendelea nchini,

AGENDA kuu Kwa Sasa ni KATIBA mpya.

RASIMU alisimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo.

Amen
 
Tukumbushane,

Wakati mijadala mingine ikiendelea nchini,

AGENDA kuu Kwa Sasa ni KATIBA mpya.

RASIMU alisimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo.

Amen
Watanzania hawatakula katiba mpya
 
Katiba mpya Kwa TANZANIA ni kusudi la Mungu kuiponya Nchi.

Kusudi la Mungu halitazuiwa na mwanadamu.

Amen
Ni sawa na kusema gari jipya ni kusudi la Mungu kumponya dereva kichaa
 
Samia, kikaango chake kinamkaanga mwenyewe.

Alidhani Magufuli alikosea kuwabana akina nape na makamba.

Leo wameanza kumwonesha makucha yao.
Subiri tuone, hilo jiwe litampiga nani?
 
Hao malaya wenzenu wanahangaika SGR na NYERERE dam visikamilike halafu wanakuja kuandika humu kuiponda hiyo miradi. Kazi mnayo.
 
Ni sawa na kusema gari jipya ni kusudi la Mungu kumponya dereva kichaa
Gari jipya litamuondoa dereva kichaa automatically kwenye usukani mifumo ikiwa mipya.

Yajayo yanafurahisha Kwa mliozoea kunufaika Kwa Mali za umma.

Amen
 
Kama watu watakuwa hawawajibishwi kwa makosa wanayoyafanya wakiwa madarakani ..... Matumizi mabaya ya madaaraka pamoja na Ufisadi utakuwa ni sehemu ya maisha yetu milelel .....!!
 
Kama watu watakuwa hawawajibi kwa makosa wanayoyafanya wakiwa madarakani ..... Matumizi mabaya ya madaaraka pamoja na Ufisadi utakuwa ni sehemu ya maisha yetu milelel .....!!
Mh
 
Gari jipya litamuondoa kichaa automatically kwenye usukani mifumo ikiwa mipya.

Yajayo yanafurahisha Kwa mliozoea kunufaika Kwa Mali za umma.

Amen
Utaomba mpk ufe lkn maombi yako ya kishetani kamwe hayatatimia
 
Utaomba mpk ufe lkn maombi yako ya kishetani kamwe hayatatimia
Sitakufa Bali NITAISHI Ili niushuhidie WEMA wa Mungu ktk Nchi yangu TANZANIA.

Siku za waovu ni kama KIVULI na kujilisha UPEPO.

Narudia, WAOVU na Wala RUSHWA watapondwa kabisa ktk Nchi Ili walioonewa wainuliwe tena. Amen
 
Duh mmefikishana mbali
 
Unafikiri nape hajui hayo uliondika,unafikiri kila magumashi ya Mzee magu majaliwa na Samia walihusika pole,Samia aliwahi kusema hataki fedha za dhuluma ulizubaga masikio
 
Wanaokula mema ya nchi wanashangilia na kuimba mapambio, na wa zamani wanalialia hii ni TZ bana.
 
Paul Makonda ndani ya nyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…