Nape na Makamba mjue kujaribu kumshusha thamani Hayati Magufuli, ni sawa na kumfuata mamba kwenye kina kirefu cha maji

Nape, Makamba na Mwigulu walishajifuta kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania kwa sababu ya kumtusi, kumkejeli, kumdhihaki, kumdharau, kumdhalilisha Dkt Magufuli, mfumo wa wapiga kura unajua na tayari walishaandaliwa safari yao ya kupumzika siasa.
 
Nape, Makamba na Mwigulu walishajifuta kwenye ulimwengu wa siasa za Tanzania kwa sababu ya kumtusi, kumkejeli, kumdhihaki, kumdharau, kumdhalilisha Dkt Magufuli, mfumo wa wapiga kura unajua na tayari walishaandaliwa safari yao ya kupumzika siasa.
Uko sahihi mkuu
 
Awamu hii ikiacha kuinanga awamu iliyopita, hutosikia mtu akiisema vibaya awamu ya sasa, vinginevyo kitaumana kila siku.
 
Uliona mbali sana.Sasa hivi wote waliokuwa wanampinga JPM hadi akiwa marehemu wanajuta.Hata Zito, aliyesema anayempenda JPM akazikwe naye wakati aliwahi kudai anampenda mno Mama yake mzazi lakini hakuzikwa naye,atakuwa anajutia maneno hayo.
 
Leo miaka 3 hawajafanikiwa kuishusha
 
Mhuu buried and forgotten. Atabaki kwenye mioyo ya watu waliompenda. Pole sana ndugu.
 
Peter Msigwa amenunuliwa na nani?
 
Msigwa alifika bei siku nyingi tu, walisubiri the right time na ku-flush away in style.
 
Tunapoteza muda kuwajadili hao vilaza januari na nnape wajinga wanaojiamini bure.😎😏
 
Robert Mugabe aliwahi kusema:

"Racism will never end as long as white cars are still using black tires; If people still use black color for bad luck and white for peace; If people still wear white clothes to weddings and black clothes to funerals; As long as those who don’t pay their bills are blacklisted and not ‘whitelisted’… But I don’t care as long as I still use the white tissue paper to wipe my ass! With that only, I will always be very fine."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…