Nape na Makamba mlikuwa mkisoma vyema Mada zangu mbalimbali hapa JamiiForums za Kuwahusu na Kuwaonyeni au nanyi mlikuwa mnanipuuza?

juzi ukajichanga kwa Ujuha wako
Nafikiri ile kauli haikutoka kwa bahati mbaya, kuna kitu alinusa, sitaki kuamini kuwa walikuwa hawajui nini kinakuja mbele yao!

Kingine naona kama wanarudishwa kwenye kazi za chama coz Makala na company yake naona kama hawachezi na bit coz of umri na mipango mikakati ya baadaye!

Au mama anaamua kuyamaliza makundi yote na mwisho abaki na kundi lake tu! Naona mtoto pendwa wa Rostam anazidi kupeta! Vipi, anaandaliwa nyadhifa kubwa? Ni mtazamo tu!
 
Mtoto wa rostam ni yupi mkuu
 
Kitakachotokea kule Bumbuli , jina la Makamba halitarudi, CCM wameshampata dogo mmoja Safi. Yaani pamoja na kwamba Makamba ana hela nyingi Sana na anaamini Sana masangoma na anapenda Sana wanawake lakini ajue this is the beginning of the end.
Sipendagi kabisa hata kukiona kile kijamaa hivi lazima wawe wanasiasa ukoo mzima jamani? Kwa hili mama pongezi sana kutondelea hivi vifisadi
 
Nakumbuka Makamba nilikuambia hapa hapa kuwa kitendo tu na kutolewa Kwako kule Wizara ya Nishati Mama alikuwa anakutafutia tu Timing ili akumaliza mazima kwa tabia zako za kujifanya uko nae wakati huku chini chini Unamsnichi na ukiendelea na mchakato wako wa Kujipanga kisirisiri ndani ya Chama kwa 2025 na hasa 2030 huku kama Kawaida yako ukiwa unaongozwa na Dharau, Ujivuni mwingi huku ukizitegemea sana zile mbinu zako za Wazee wa Simba na Yanga za nje ya Uwanja kukusaidia.

Nakumbuka pia kwa Nape nilikuambia kuwa huna muda mrefu ndani ya Baraza lake kwani licha ya kuwa huna Uwezo wowote ule zaidi tu ya ujanja ujanja ila pia ulikuwa ni Ndumilakuwili kwa Mama hasa kwa kupenda Kumpiga Majungu na wale baadhi ambao aliwaweka Kando na hukujua kuwa ulikuwa Unafuatiliwa na juzi ukajichanga kwa Ujuha wako Mama akaona hapo hapo amalize Shughuli kabisa. Na nina Taarifa kuwa kuna Rafiki yako Mmoja ( Kaka wa Bosi wa Media Kubwa ya Mikocheni ) Daktari ambaye ni Rafiki yako alikuonya mno Nyendo zako ukampuuza.

Ombi langu Wateuliwa wote Tanzania pendeni sana kusoma Mada za Waliobarikiwa Upeo na Akili hapa JamiiForums.

Poleni sana.

Pia soma > News Alert: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
mmepigwa kingi mmeingia kichwa kicha ....eti mliandika....... sayansi ya siasa ni pana sana. Tupo kwenye series za matukio lakini macho ya vipofu yatafunguka alfajiri
 
Makamba anaenda kuwa mwenyekiti wa Commission ya Africa
 
Sipendagi kabisa hata kukiona kile kijamaa hivi lazima wawe wanasiasa ukoo mzima jamani? Kwa hili mama pongezi sana kutondelea hivi vifisadi
Makamba na Nape bila Shaka mmejiridhisha kwamba hampendwi na watanzania kwa tabia zenu. Najua mnasoma hizi comment. Hebu na wewe Makamba toa ya moyoni mwako, Nape bado atakua na hangover sijui hata Kama anajua Kama ametumbuliwa.
 
mmepigwa kingi mmeingia kichwa kicha ....eti mliandika....... sayansi ya siasa ni pana sana. Tupo kwenye series za matukio lakini macho ya vipofu yatafunguka alfajiri
Hujawahi kumiliki Akili tokea Uzaliwe hivyo wala hunisumbui.
 
Kitakachotokea kule Bumbuli , jina la Makamba halitarudi, CCM wameshampata dogo mmoja Safi. Yaani pamoja na kwamba Makamba ana hela nyingi Sana na anaamini Sana masangoma na anapenda Sana wanawake lakini ajue this is the beginning of the end.
Akahonga mzungu gari ya mil 600
 
Makamba na Nape bila Shaka mmejiridhisha kwamba hampendwi na watanzania kwa tabia zenu. Najua mnasoma hizi comment. Hebu na wewe Makamba toa ya moyoni mwako, Nape bado atakua na hangover sijui hata Kama anajua Kama ametumbuliwa.
Na kama washkaji zako waambie ole wao waonyeshe kinyongo ,mama hataki immaturity kabisa
 
Back
Top Bottom