Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

Hahah sasa Salma Kikwete hata kama ingethibitishwa ana effects gani mwenye siasa za Tz?Uongo si mzuri sometimes.
 
Mtafurahia show wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe wa watu kakaa kimyaa kumbe bado kuna watu wanamuota tu CCM
 
Yote aliyofanyiwa Lowassa na mkwere halafu bado wakae chungu kimoja tena, tena kwenye siasa labda kwenye misiba.
Hebu jaribu kutunga uongo hata kidogo wenye mantiki
 
Upinzani wa kweli utatoka na upo ndani ya ccm.
Bora Membe mara mia kuliko Magufuli
 
Ulichoongea hakina mantiki labda kama unaongelea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kwa utaratibu wa ccm mwaka 2020 JPM hana mpinzani ndani ya chama.
 
Ulichoongea hakina mantiki labda kama unaongelea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kwa utaratibu wa ccm mwaka 2020 JPM hana mpinzani ndani ya chama.
Ame amua kutunga story za vijiwenu walahi
 
Sasa kama anaenda kinyume tufanyeje

Ngoma inogile. Mada ni jinsi ambavyo CCM wanahujumiana wenyewe kwa wenyewe. Halafu MAVUVUZELA ya CCM Britanicca, ISIS, Ruttashobolwa etc wanaparurana wenyewe kwa wenyewe. Mnara wa Babeli unakaribia kuporomoka. Kilangila.
 
Ni upuuzi of the highest order kufikiri au hata kuamini kuwa ati Nape na Membe wanapanga kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM. Naona ni kama hoja dhaifu inliyojikita katika woga usio na msingi!
 
Naanza kupata harufu ya Field Marshal Iddi Amin Dada nchini mwetu Tanzania.
Kila anayeonekana kutoa sauti isiyompendeza Mtawala, anatafutiwa sababu za kuuawa. Kilicho andikwa hapo ni kujenga hoja dhidi ya Nape na Membe, typical Iddi Amin Dada style!!!!
Iddi Amin Dada alikuwa na kikosi maalum cha kuwapoteza wapinzani. Ilifikia mpaka Askofu Mkuu Luwun na Jaji Mkuu Kiwanuka wakakatwa vichwa!
Ee Mwenyezi Mungu, tusaidie tusiende huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…