Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

1100717

Linahamia kwao sasa...hahahahahaha
 
QUOTE="Viatu vya Samaki, post: 31497239, member: 521195"]
Kuelewa niliachoandika siyo lazima.
[/QUOTE]
Nimetuma ujumbe makusudi nilitegemea kupata jibu linalofanana na hili
1)Kofia ya kijani
2)Mzee zabron
3)Mzee zablon
#########
Lumumba
 
Wafadhili wa Mheshimiwa Membe wamempatia kitita cha kutosha kufanya mapinduzi ndani ya CCM

Hii ni Mpango Na utitiri wa wakwepa kodi watenge Tshs triolini moja kununua wabunge wa ccm kwa bilioni tano tano na bunge loote kuwa la upinzani kwa wingi kwa kwa hila ya pesa...SANDUKU la kura wanaona hawawezi sasa wanataka kutumia pesa chafu $400M zilizochangwa na Group 20

mapinduzi yenyewe ni kupigania katiba inabadirishwa ili mbunge akihama ahame na ubunge wake, maana inaonekana wabunge wengi wangependa kuhama kutokana na maoni ya chini chini, ila tatizo wanahofu ya kupoteza ubunge wao.

Heri wanaohama kutoka upinzani kwenda CCM hao watapewa nafasi na Magufuli,.au saa nyingine kurudi bungeni kupitia uchaguzi wa mabavu, lakin wanao tamani kuhama CCM kwenda upinzani ndo watakuwa wamepoteza kabisa,

Point ya Membe ni target 2020 kwamba wabunge wengi wa CCM kabla ya 2020 watashinikiza baadhi ya mambo yanayombeba membe kugombea maana watakuwa huru wakizinguliwa wanahama, wakihama na ubunge wao,

Hivi navyoongea mambo yanaratibiwa na Nape nyuma ya Membe, kuhakikisha Magufuli anakwama kwa aina yeyote ile

Nakili kwamba CCM inataka mkombozi wa kuitoa kwenye meno ya Magufuli lakin njia anayotumia Membe inaweza isizae matunda maana intelligence ya Magufuli ni kali mno na ina mzizi mrefu,

Nape hivi karibuni ameonekana akibeza na kutoa maoni juu ya wanaohama na kurudia uchaguzi, ni kweli point anazosimamia nape zina mantiki ila lengo lake siyo kuokoa hela ya uchaguzi ila ni nyingine.

Amerushiana na Makonda maneno ,simtetei Makonda maana hata mimi Nina mashaka na elimu yake na uelewa pia, ila Nape utakwama tumia njia nyingine,

Hatimaye CCM yetu itaurudi
Mku huu mziki wa Nape ni mzito ndio maana Poleplo kimya
 
Kwako wewe ccm kwanza sio Tanzania, duh
 
Laiti angekusikiliza.
 
Trillions?
 
Back
Top Bottom