Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

Wafadhili wa Mheshimiwa Membe wamempatia kitita cha kutosha kufanya mapinduzi ndani ya CCM

Hii ni Mpango Na utitiri wa wakwepa kodi watenge Tshs triolini moja kununua wabunge wa ccm kwa bilioni tano tano na bunge loote kuwa la upinzani kwa wingi kwa kwa hila ya pesa...SANDUKU la kura wanaona hawawezi sasa wanataka kutumia pesa chafu $400M zilizochangwa na Group 20

mapinduzi yenyewe ni kupigania katiba inabadirishwa ili mbunge akihama ahame na ubunge wake, maana inaonekana wabunge wengi wangependa kuhama kutokana na maoni ya chini chini, ila tatizo wanahofu ya kupoteza ubunge wao.

Heri wanaohama kutoka upinzani kwenda CCM hao watapewa nafasi na Magufuli,.au saa nyingine kurudi bungeni kupitia uchaguzi wa mabavu, lakin wanao tamani kuhama CCM kwenda upinzani ndo watakuwa wamepoteza kabisa,

Point ya Membe ni target 2020 kwamba wabunge wengi wa CCM kabla ya 2020 watashinikiza baadhi ya mambo yanayombeba membe kugombea maana watakuwa huru wakizinguliwa wanahama, wakihama na ubunge wao,

Hivi navyoongea mambo yanaratibiwa na Nape nyuma ya Membe, kuhakikisha Magufuli anakwama kwa aina yeyote ile

Nakili kwamba CCM inataka mkombozi wa kuitoa kwenye meno ya Magufuli lakin njia anayotumia Membe inaweza isizae matunda maana intelligence ya Magufuli ni kali mno na ina mzizi mrefu,

Nape hivi karibuni ameonekana akibeza na kutoa maoni juu ya wanaohama na kurudia uchaguzi, ni kweli point anazosimamia nape zina mantiki ila lengo lake siyo kuokoa hela ya uchaguzi ila ni nyingine.

Amerushiana na Makonda maneno ,simtetei Makonda maana hata mimi Nina mashaka na elimu yake na uelewa pia, ila Nape utakwama tumia njia nyingine,

Hatimaye CCM yetu itaurudi
mpuuzi wewe na tutaendelea kukupuuza kwani ndio dawa ya mwenye upuuzi badala ya kujikitama maisha ya wananchi mnaleta ujinga tuleteeni wanunuzi wa korosho ili iongezeke bei. hawa watu wanatuhujumu sana pesa ya marketing mmechukua ila maendeleo mnaenda kufanyia huko
 
Wafadhili wa Mheshimiwa Membe wamempatia kitita cha kutosha kufanya mapinduzi ndani ya CCM

Hii ni Mpango Na utitiri wa wakwepa kodi watenge Tshs triolini moja kununua wabunge wa ccm kwa bilioni tano tano na bunge loote kuwa la upinzani kwa wingi kwa kwa hila ya pesa...SANDUKU la kura wanaona hawawezi sasa wanataka kutumia pesa chafu $400M zilizochangwa na Group 20

mapinduzi yenyewe ni kupigania katiba inabadirishwa ili mbunge akihama ahame na ubunge wake, maana inaonekana wabunge wengi wangependa kuhama kutokana na maoni ya chini chini, ila tatizo wanahofu ya kupoteza ubunge wao.

Heri wanaohama kutoka upinzani kwenda CCM hao watapewa nafasi na Magufuli,.au saa nyingine kurudi bungeni kupitia uchaguzi wa mabavu, lakin wanao tamani kuhama CCM kwenda upinzani ndo watakuwa wamepoteza kabisa,

Point ya Membe ni target 2020 kwamba wabunge wengi wa CCM kabla ya 2020 watashinikiza baadhi ya mambo yanayombeba membe kugombea maana watakuwa huru wakizinguliwa wanahama, wakihama na ubunge wao,

Hivi navyoongea mambo yanaratibiwa na Nape nyuma ya Membe, kuhakikisha Magufuli anakwama kwa aina yeyote ile

Nakili kwamba CCM inataka mkombozi wa kuitoa kwenye meno ya Magufuli lakin njia anayotumia Membe inaweza isizae matunda maana intelligence ya Magufuli ni kali mno na ina mzizi mrefu,

Nape hivi karibuni ameonekana akibeza na kutoa maoni juu ya wanaohama na kurudia uchaguzi, ni kweli point anazosimamia nape zina mantiki ila lengo lake siyo kuokoa hela ya uchaguzi ila ni nyingine.

Amerushiana na Makonda maneno ,simtetei Makonda maana hata mimi Nina mashaka na elimu yake na uelewa pia, ila Nape utakwama tumia njia nyingine,

Hatimaye CCM yetu itaurudi
Kama kuna demokrasia ndani ya chama, kwanini tena useme wanahujumu?
 
Anhaaa sasa nani ndani ya CCM kwasasa anaweza kurudisha CCM halisia ???
Wapo wengi tu ila waomdoe woga wamwambie mwenyekiti wazi kabisa ubaguzi hauko katika itikadi ya CCM,Mkuu wa Mkoa anashikwa hadharani akikwepa kodi halafu analeta "nakutogagwa gete gete bhebhe nyanda"
 
Siku naihama rasmi CCM nitakwenda kuihamia Mindoli kwa Ngoyai natumaini Fred Lossawa (cool guy) ni kama mimi anaijua CCM vizuri nililkuwa nimepunzika pombe kali kwa hiyo nataka ninywe nikamsalimie na mama na kuipa pole familia ivyoivibiwa lakini ikasema hewalwa si u tumwa.eeeee....mungu nisaidia
 
Kama membe anaidhoofisha nguvu ya magufuli ndani ya CCM kuna ubaya gani,Magufuli amechokwa anatawala kwa vitisho vya kupiga mashangazi wa watu...kama hiyo tabia ni sawa kwa Wazinza suo huku kusini bhana "kama aliubipu huo uraisi halafu uraisi ukampigia si angesema tu Sorry Wrong number ndugu uraisi"...alikuwa anautaka na huenda hata alienda kwa mganga ili ashinde uraisi tusidanganye
 
Back
Top Bottom