Tetesi: Nape na Membe wahusishwa kuhujumu nguvu ya Magufuli ndani ya CCM

Hizi zote ulizoandika hapa ni hisia, ambazo hazina ushahidi. Tunachojua kwa hakika ni kwamba Membe na Nape ni watu waliozoea kuwa ndani ya mfumo wa uongozi wa CCM na hawajazoea kukaa benchi. Siku zote hata kwenye mpira wa miguu wanaokaa benchi ndio wasemaji na wakosoaji wenye kila aina ya mapendekezo na kelele.Siku ukiwaingiza ndani nao wacheze gafla wanabadilika wanacheza kama wale ambao walikuwa wanawakosoa au hata vibaya zaidi yao
 
HAKUNA KITU KAMA HIKI MTOA MADA NDANI YA CCM. NI UONGOOOO ULIOPITILIZA.
 
Mkuu unaposema "intelligence ya Maghufuli ina mizizi mirefu" unamaanisha kitu gani? Unamaanisha ana sapoti kubwa sana miongoni mwa wanausalama? Maana wale sidhani kama wanatumikia nchi, wale huwa wanatumikia mtu aliyeko madarakani. Yani wanageuka kama mahouseboys sometimes!
 
Midamu wale wahaini wa shairi/lyric waliachiwa wakajiendea zao, wala haitakuwa ajabu wengine kujaribu. Its was a grave mistake to let that one went unpanishable, sivyo nchi hasa hizi zetu za kiafrika zinavyo endeshwa.
 
Ukisikia "fake News" ya Donald Trump ya kiwango cha uzamivu ndio kama hii hapa!!
Kwa sasa hajapatikana mtu au kikundi cha watu ndani ya CCM wenye ujasiri wa kukabiliana na mwenyekiti wao; bado wote wapepigwa na bumbuwazi kwa jinsi chama kilivyowatoka mkononi wale wote waliokuwa wakijinadi kwamba "Chama CCM kina wenyewe, na wenyewe ndio wao!"; Kwa sasa ni bora wakae kwa kutulia wanyolewe na kuisoma namba mpaka jamaa ang'atuke.
 
kama kweli chama kimewatoka basi hilo ni ndoto..watu hawawezi jenga chama miaka halafu waporwe wasiwe na la kufanya
 
Reactions: MTK
Na Magufuli amewanyoa vzuri kweli aisee vimebaki vilio kimya kimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: MTK
Bado na ile vita ya wahamiaji kufika tu wanakabidhiwa funguo za stoo!!
 
Rubbish hujui hata kudanganya mnaogopa hata vivuli hizo hela ni nyigi sana kama unauhakika zimeifadhiwa benki gani,lini, na marafiki akina nani acheni kumtisha nape mwache atoe mawazo yake.
 
kama kweli chama kimewatoka basi hilo ni ndoto..watu hawawezi jenga chama miaka halafu waporwe wasiwe na la kufanya
Kuna kitu wadhungu wanaita "Shock and Awe!!"; yaani wako kwenye ganzi na bumbuwazi kali, hawajiwezi! No one can launch a credible challenge against the party chairman at this juncture, haswa Nape ndio kabisaaa!
 
Yani Membe pamoja na Kukaa kimya bado anaonekana kikwazo!!
Tanzania Nchi huru..Hii sasa ni Kero..

Wachonganishi na wale wote ambao hawana kazi ndo wanapiga majungu kufitini Membe na Nnape kwa Rais, Membe kishatumikia nchi kwa uaminifu na kijana Nnape nyayo ni zile zile za baba yake Mzee Moses! Acheni fitini, kifeni na njaa zenu! Nchi imepata kiongozi Dr Magufuli , Nyerere wa pili Ila yeye(Rais) hana siasa za Ujamaa(Socialism,communism) ni moderate, hiyo ndiyo tofauti ila we have got the right man, at the right time nchi ilikuwa imekwisha na walioimaliza ni wanafunzi wa Mwl Nyerere ambao walisoma bureeeeee darasa la kwanza mpaka chuo kikuu!!!viwanda vyote waliuza, walivigawa bure, walilewa madaraka, Nyerere karudi kiaina yake, and let it be!Gracias Deo Semper!
 
CCM yenu ipi,ya mafisadi,hairudi.Mikakati yenu yote inaratibiwa na inadhibitiwa na ninyi wenyewe mtadhibitiwa .
 
Wee hizi dola aliweka Wapi ? Unafahamu alipoziweka ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…