Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakikujibu NistueKuna suala la gharama za safari zake kwenye zoezi hili.
Kwanini wakuu wa mikoa wasifanye hayo anayotaka kuyafanya Nape?
Vipi pesa za kulipia safari hii si matumizi mabaya ya fedha?
Wakikujibu Nistue
Unajua we ni Ka pisi Kali kwenye "avatar'' alaf ni Ka "undercover" ..au basi😌Hii ndio Speed ya Nape ninayemjua Mimi
Hongera Sana Kazi Yako inaonekana
NakaziaWakikujibu Nistue
Nakazia
Serikali ya CCM haijawahi kuona uchungu na pesa ya mlalahoi mlipa kodi wa mTanzania.!Kuna suala la gharama za safari zake kwenye zoezi hili.
Kwanini wakuu wa mikoa wasifanye hayo anayotaka kuyafanya Nape?
Vipi pesa za kulipia safari hii si matumizi mabaya ya fedha?
Kazi na Bata !!Tuko pamoja na mama
Mabango kama hilo alilolishika Nape yaliishawekwa kwenye baadhi ya mikoa hasa Dar es salaam. Zoezi lilifanyika miaka mitano nyuma na anwani zilizotambuliwa na kupewa majina ya mitaa zilitumika kwenye sensa iliyopita, hizi gharama kubwa za uhamasishaji upya zina msukumo gani nyuma yake? ... Kama zoezi lilisitishwa na sasa limeanza upya kwa waliokwamisha wasishitakiwe?
😳!?? Hivi huyu mjamaa ndiye aliyetaka bunge lihakiki madeni ya awamu iliyopita...🤔
Akili yako ipo sawa kweli wewe? Au bangi? Ndorobooooo!!!Swali hapa linakuja Nape ni waziri wa michezo huko kwenye maswala ya Sensa anaahusika vipi ?
Na hili swala najua lipo chini ya tume why awe Nape na sio wahusika?