Nape: Nafurahishwa na mjadala mkubwa unaoendelea juu ya operesheni anwani za makazi

Nape: Nafurahishwa na mjadala mkubwa unaoendelea juu ya operesheni anwani za makazi

Hii nchi watanzania hatujawah kasirika tungejatibu hata Leo ungeona kama huyo pimbi na waliomtuma kama wangeendelea na oparation ya kijinga kama hiyo.Hawa akina Nape walitoka sana povu kwamba awamu ya tano ilitumia fedha vibaya kwa hiyo kwake haya ndio matumizi sahihi ya fedha za umma.mjinga akiadvance ni shida sana anageuka kuwa mpumbavu tu.
 
Kuna suala la gharama za safari zake kwenye zoezi hili.

Kwanini wakuu wa mikoa wasifanye hayo anayotaka kuyafanya Nape?

Vipi pesa za kulipia safari hii si matumizi mabaya ya fedha?
Hii hesabu lazima itimie

IMG_20220412_152037.jpg
 
Hii nchi watanzania hatujawah kasirika tungejatibu hata Leo ungeona kama huyo pimbi na waliomtuma kama wangeendelea na oparation ya kijinga kama hiyo.Hawa akina Nape walitoka sana povu kwamba awamu ya tano ilitumia fedha vibaya kwa hiyo kwake haya ndio matumizi sahihi ya fedha za umma.mjinga akiadvance ni shida sana anageuka kuwa mpumbavu tu.

Kinachogomba katika nchi hii ni ubinafsi uliopitiliza. Uzi huu uliangazia hilo:

Ubinafsi kikwazo kikuu Katiba Mpya

Ni kwa mukthadha huo ndiyo maana wale vichwa panzi wa kile chama huwaoni hapa.

Wanapita kimya kimya juu kwa juu.
 
Safi muheshimiwa nape nimependa response yako ya haraka na bila kinyongo. Kwakweli kinacho endelea ni ukosoaji wa matumizi makubwa yasiyo endana uchumi wetu hasa kwakuwa uhamasishaji huu ungeweza kufanywa kwa njia za vyombo vingi vya habari ikiwemo mechi za ligi kuu na mashindano ya ngumi wakati wa bunge live. Mfano dakika moja mbunge kabla ya kuchangia ahimize swala makazi ndio aendelee mbona tungefanikiwa
Umenena vyema.
 
Back
Top Bottom