Hii hesabu lazima itimieKuna suala la gharama za safari zake kwenye zoezi hili.
Kwanini wakuu wa mikoa wasifanye hayo anayotaka kuyafanya Nape?
Vipi pesa za kulipia safari hii si matumizi mabaya ya fedha?
Hii nchi watanzania hatujawah kasirika tungejatibu hata Leo ungeona kama huyo pimbi na waliomtuma kama wangeendelea na oparation ya kijinga kama hiyo.Hawa akina Nape walitoka sana povu kwamba awamu ya tano ilitumia fedha vibaya kwa hiyo kwake haya ndio matumizi sahihi ya fedha za umma.mjinga akiadvance ni shida sana anageuka kuwa mpumbavu tu.
Hivi hiyo kampeni ni ya nini hasa. Au ina maana kuna resistance kutoka kwa Wananchi au ni ni hasa....!!?
Umenena vyema.Safi muheshimiwa nape nimependa response yako ya haraka na bila kinyongo. Kwakweli kinacho endelea ni ukosoaji wa matumizi makubwa yasiyo endana uchumi wetu hasa kwakuwa uhamasishaji huu ungeweza kufanywa kwa njia za vyombo vingi vya habari ikiwemo mechi za ligi kuu na mashindano ya ngumi wakati wa bunge live. Mfano dakika moja mbunge kabla ya kuchangia ahimize swala makazi ndio aendelee mbona tungefanikiwa