Nape Nauye hii ndiyo legacy yako? tunakulilia kwa kuuwa TTCL yetu

Maswa Yetu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
1,398
Reaction score
2,619
Kutokana na report ya CAG Shirika la TTCL chini ya waziri Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano limeongeza hasara kutoka Sh 4.32billioni mwaka 2022 hadi 27.7billioni mwaka 2023 licha ya serikali kufanya uwekezaji mkubwa.
Kazi ya kwanza ya waziri Nape alipochukua wizara ilikuwa ni kufukuza wakurugenzi na kuvunja bodi kwa maelezo kwamba hataki kufanya kazi na watu walioachwa na Magufuli! Na baadae akateua na kuweka watu wake aliosema wana weledi na watapeleka TTCl mbele. Matokeo yake hao watu wenye weledi tulioaminishwa na Nape wameliongezea hasara TTCL kutoka billion 4.32 hadi billion 27.7!
Hiyo ndiyo Tanzania mnaenda hatua 10 mbele alafu mnarudi hatua 100 nyuma.
 
Du legacy za Nape hapa nchini ni nyingi sana, ninazozikumbuka mimi;\
1. Kupita bila kupingwa
2. Kupiga magoti kutika main gate hadi ndani
Bao la mkono
3. Kutangazwa mshindi kunategemea nani anatangaza na nani anahesabu kura
4. mzee wetu kujisaidia bila breki
5. Ikulu sio wodi ya kulaza wagonjwa
N.K na N.K
 
Hahaha
 
Nepi ana bichwa kama bumunda. Goli la mkono mbuzi yule!
 
Mwenye picha anapanda mnara aweke tujikumbushe
 
Hizi koo zinazotutawala ndiyo zimeleta umasikini kwa watanzania, utawala wa kurithishana wa akina Nape & Co wanaitafuna haswa Tanzania
 
Kutokana na report ya CAG Shirika la TTCL chini ya waziri Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano limeongeza hasara kutoka Sh 4.32billioni mwaka 2022 hadi 27.7billioni mwaka 2023 licha ya serikali kufanya uwekezaji mkubwa.
Kazi ya kwanza ya waziri Nape alipochukua wizara ilikuwa ni kufukuza wakurugenzi na kuvunja bodi kwa maelezo kwamba hataki kufanya kazi na watu walioachwa na Magufuli! Na baadae akateua na kuweka watu wake aliosema wana weledi na watapeleka TTCl mbele. Matokeo yake hao watu wenye weledi tulioaminishwa na Nape wameliongezea hasara TTCL kutoka billion 4.32 hadi billion 27.7!
Hiyo ndiyo Tanzania mnaenda hatua 10 mbele alafu mnarudi hatua 100 nyuma.
Legacy aliyoiacha ni TTcl kudai billions halafu nyenyewe haifahamu inayemdai.
 
Hapo hutoona Nape anasumbuliwa na TAKUKURU wala TISS, subiri VEO aibe mfuko mmoja wa cement ataona moto wake kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya inahamia kwake + TAMISEMI, pumbavu kabisa
 
Du legacy za Nape hapa nchini ni nyingi sana, ninazozikumbuka mimi;\
1. Kupita bila kupingwa
2. Kupiga magoti kutika main gate hadi ndani
Bao la mkono
3. Kutangazwa mshindi kunategemea nani anatangaza na nani anahesabu kura
4. mzee wetu kujisaidia bila breki
5. Ikulu sio wodi ya kulaza wagonjwa
N.K na N.K
Usisahau ile ya Kura mnapiga nyie ,matokeo tunayo sisi.
 
Back
Top Bottom