Maswa Yetu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 1,398
- 2,619
HahahaDu legacy za Nape hapa nchini ni nyingi sana, ninazozikumbuka mimi;\
1. Kupita bila kupingwa
2. Kupiga magoti kutika main gate hadi ndani
Bao la mkono
3. Kutangazwa mshindi kunategemea nani anatangaza na nani anahesabu kura
4. mzee wetu kujisaidia bila breki
5. Ikulu sio wodi ya kulaza wagonjwa
N.K na N.K
Nepi ana bichwa kama bumunda. Goli la mkono mbuzi yule!Kutokana na report ya CAG Shirika la TTCL chini ya waziri Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano limeongeza hasara kutoka Sh 4.32billioni mwaka 2022 hadi 27.7billioni mwaka 2023 licha ya serikali kufanya uwekezaji mkubwa.
Kazi ya kwanza ya waziri Nape alipochukua wizara ilikuwa ni kufukuza wakurugenzi na kuvunja bodi kwa maelezo kwamba hataki kufanya kazi na watu walioachwa na Magufuli! Na baadae akateua na kuweka watu wake aliosema wana weledi na watapeleka TTCl mbele. Matokeo yake hao watu wenye weledi tulioaminishwa na Nape wameliongezea hasara TTCL kutoka billion 4.32 hadi billion 27.7!
Hiyo ndiyo Tanzania mnaenda hatua 10 mbele alafu mnarudi hatua 100 nyuma.
DaahJamaa kimeo sana
Mwenye picha anapanda mnara aweke tujikumbusheKutokana na report ya CAG Shirika la TTCL chini ya waziri Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano limeongeza hasara kutoka Sh 4.32billioni mwaka 2022 hadi 27.7billioni mwaka 2023 licha ya serikali kufanya uwekezaji mkubwa.
Kazi ya kwanza ya waziri Nape alipochukua wizara ilikuwa ni kufukuza wakurugenzi na kuvunja bodi kwa maelezo kwamba hataki kufanya kazi na watu walioachwa na Magufuli! Na baadae akateua na kuweka watu wake aliosema wana weledi na watapeleka TTCl mbele. Matokeo yake hao watu wenye weledi tulioaminishwa na Nape wameliongezea hasara TTCL kutoka billion 4.32 hadi billion 27.7!
Hiyo ndiyo Tanzania mnaenda hatua 10 mbele alafu mnarudi hatua 100 nyuma.
Hawezi kujaNape Nnauye njoo huku
UzembeMashirika yote ya umma kwenye biashara za ushindani eidha yabadilke au yataishia kufa tu.
Hizi koo zinazotutawala ndiyo zimeleta umasikini kwa watanzania, utawala wa kurithishana wa akina Nape & Co wanaitafuna haswa TanzaniaKutokana na report ya CAG Shirika la TTCL chini ya waziri Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano limeongeza hasara kutoka Sh 4.32billioni mwaka 2022 hadi 27.7billioni mwaka 2023 licha ya serikali kufanya uwekezaji mkubwa.
Kazi ya kwanza ya waziri Nape alipochukua wizara ilikuwa ni kufukuza wakurugenzi na kuvunja bodi kwa maelezo kwamba hataki kufanya kazi na watu walioachwa na Magufuli! Na baadae akateua na kuweka watu wake aliosema wana weledi na watapeleka TTCl mbele. Matokeo yake hao watu wenye weledi tulioaminishwa na Nape wameliongezea hasara TTCL kutoka billion 4.32 hadi billion 27.7!
Hiyo ndiyo Tanzania mnaenda hatua 10 mbele alafu mnarudi hatua 100 nyuma.
Hata ukipewa wewe uendeshe utalitafuna tu na kuongeza nyumba ndogo katika kila eneo la jiji.Uzembe
Legacy aliyoiacha ni TTcl kudai billions halafu nyenyewe haifahamu inayemdai.Kutokana na report ya CAG Shirika la TTCL chini ya waziri Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano limeongeza hasara kutoka Sh 4.32billioni mwaka 2022 hadi 27.7billioni mwaka 2023 licha ya serikali kufanya uwekezaji mkubwa.
Kazi ya kwanza ya waziri Nape alipochukua wizara ilikuwa ni kufukuza wakurugenzi na kuvunja bodi kwa maelezo kwamba hataki kufanya kazi na watu walioachwa na Magufuli! Na baadae akateua na kuweka watu wake aliosema wana weledi na watapeleka TTCl mbele. Matokeo yake hao watu wenye weledi tulioaminishwa na Nape wameliongezea hasara TTCL kutoka billion 4.32 hadi billion 27.7!
Hiyo ndiyo Tanzania mnaenda hatua 10 mbele alafu mnarudi hatua 100 nyuma.
Hii ndiyo katiba alituachia Nyerere na genge lake kulinda majangili ya mali za umma.Legacy aliyoiacha ni TTcl kudai billions halafu nyenyewe haifahamu inayemdai.
Na tunajiambia watanzania hawali katiba mpya,ile genge la mchwa liendeleee kuneemekaHii ndiyo katiba alituachia Nyerere na genge lake kulinda majangili ya mali za umma.
Matapeli yanafaidi sn mali za umma hayasumbuliwi na TAKUKURU wala mbuzi yoyoteNa tunajiambia watanzania hawali katiba mpya,ile genge la mchwa liendeleee kuneemeka
Usisahau ile ya Kura mnapiga nyie ,matokeo tunayo sisi.Du legacy za Nape hapa nchini ni nyingi sana, ninazozikumbuka mimi;\