Nape ndiye Rais ajaye 2025, akikatwa CCM ataenda upinzani watampitisha

Ana degree ?
 
Unaota ww, Samia Tena 2025 had 2045
 
Heheh dah naona humu ndani kuna watu wa dizaini kibao. How on Earth waweza kukaa chini na kujiaminisha kabisa kwamba Nape anafaa kuwa Rais??? Kwanza 2025 unadhani kuna mtu atagombea zaidi ya mama kwa CCM??? Na huko upinzani labda ACT Maana wao ni zoazoa
 
Kwenda zako nape ndio kitu gani. Mtu hawezi hata kujua alipokua waziri kwamba hana uwezo kumuundia mkuu wa mkoa kamati kumchunguza? Mtu ambaye alifikiri akiwa waziri ni sawa kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida😂😂? Yaani hawezi kutofautisha ofisi ya umma na familia yake? 🤣🤣. Hebu wacheni mzaha nyie wanamtandao.
 
Unavyoona, baada ya kusema haya anaweza akakumbukwa kwa nafasi ya uwaziri tena? Huko upinzani anaweza tisha kuliko Lowasa ambaye kajirudisha mwenyewe?
 
Tanzania mara zote huwa inapishana na gari la minoti ila Nape na January ni miongoni mwa brain mbili zinazoweza kufanya grand reforms za new direction ya Tanzania.
 
Hakuna mwenye akili timamu anaweza kumuamini Nape.
 
Hebu acheni 'Kututukana' Watanzania tafadhali sawa? Yaani Nape Nnauye huyu huyu 'Hypocrite, Selfish and Flaterer by nature' aje kuwa Head of State wa Tanzania 2025? Punguzeni Kuvuta Bangi huku mkiwa hamjala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…