Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 707 Reaction score 2,572 Jan 19, 2025 #1 Kama sikosei, Dk Nchimbi na Nape haziivi tokea enzi zile walipokuwa UVCCM. Dalili zi wazi, Dk Nchimbi anaelekea kuwa mtu mkubwa sana ndani ya Nchi hii huko mbele. Kwa muktadha wa mahusiano yao ya huko nyuma ni wazi Nape hana chake tena. Hongera Dk.
Kama sikosei, Dk Nchimbi na Nape haziivi tokea enzi zile walipokuwa UVCCM. Dalili zi wazi, Dk Nchimbi anaelekea kuwa mtu mkubwa sana ndani ya Nchi hii huko mbele. Kwa muktadha wa mahusiano yao ya huko nyuma ni wazi Nape hana chake tena. Hongera Dk.
Hammer11 JF-Expert Member Joined Feb 18, 2024 Posts 1,518 Reaction score 2,174 Jan 19, 2025 #2 Nape siasa sasa imeshamshindaaa aka lime ufuta huko mtama
K Kwakivesa Senior Member Joined Dec 8, 2016 Posts 150 Reaction score 201 Feb 1, 2025 #3 Hakuna uadui wa kudumu katika siasa ujue😉😉
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 6,974 Reaction score 8,750 Feb 2, 2025 #4 Safi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 2, 2025 #5 Muda utaongea... Cc: Mahondaw