Nape ndiyo bye-bye

Nape ndiyo bye-bye

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Kama sikosei, Dk Nchimbi na Nape haziivi tokea enzi zile walipokuwa UVCCM.

Dalili zi wazi, Dk Nchimbi anaelekea kuwa mtu mkubwa sana ndani ya Nchi hii huko mbele.

Kwa muktadha wa mahusiano yao ya huko nyuma ni wazi Nape hana chake tena.

Hongera Dk.
 
Back
Top Bottom