Nape Nnauye afika Karimjee kuaga Mwili wa Lowassa

Mwanaume kupenda umbea ni sawa na ushoga. Cha ajabu ni nini, hiyo nayo ni habari? Utafikiri ni fisi kaenda msibani
 
"Waliomkosea Lowassa wote kabla hajalala wakatubu, akilala yule mzee kama huwajatubu watapata laana kubwa sana...."
Kama namuona Nape akiwa jalalani anafakamia takataka, na upande mwingine na Kasheku Msukuma anaendesha rim ya baiskeli barabarani huku amevalia singlendi ailiyochanika ,na kwa mbaali namuona Makonda amevaa kibwaya anakata mauno mitaani na nyuma kabisa namuona Kibajaji yuko uchi wa mnyama anapiga marimba ya kigogo. Chezea laana wewe
 
Duuuh! [emoji2][emoji2][emoji2]
Mwaka huu tutayaona na kuyasikia mengi sana! R.I.P ENL
 
Huyu ndio alisema ikulu sio wodi za wagonjwa 😁😁😁

Ni mtu mjinga tuu ndio anaweza kuwategemea Wanasiasa
 
Nakuelewa vizuri sana. Sitasahau tukio moja mwaka 2019, ambapo watu walivuna miwa na mihogo wazi wazi wakati wa mazishi ktk shamba la mfiwa. Nilisikitika sana na ilikuwa mara yangu ya kwanza kuona tukio kama hilo, lkn huku duniani kuna watu na viatu ndani ya muda mfupi miwa yote chali, alianza kichaa mmoja na wengine wakafuata baada ya hapoa mihogo ikakumbukwa yaani ni shida
 
Shughuli hii inafanyika muda huu Karimjee , Mh Nape ambaye ni Waziri wa Habari ameongoza kundi la Mawaziri kuingia eneo la tukio.
View attachment 2902567

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Alikatwa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Unafiki ni dhambi mbaya sana sana ktk ulimwengu wetu!
Sijui kwanini chama kimeona ili kiweze kuwepo unafiki ndio kitu bora kabisa cha kuambatana nacho!
 
Na tumbo lake kama mjamzito vileView attachment 2902499

Nyakati zingine watu wanashindwa kutofautisha kati ya hekima na unafiki. Mara nyingi wengine wanafikiri, kuachilia na kupuuzia mambo yaliyokuumiza na kushiriana na walio kuumiza wanaweza kudhani ni unafiki na udhaifu. Unaokoa na kuponya nafsi nyingi sana. Mambo unayafanya yawe shwaari kama hakuna jambo lolote, wakati ungeonesha hisia zako halisi bila kudhibiti na kutumia akili ungepelekea madhara makubwa zaidi. Hivyo watu wakiwa wanqjaribu kuwa na mtazamo ulio tofauti nasi kuhusu kuona jambo fulani, tusikimbilie kuwahukumu kuwa pengine ni wanafiki au dhaifu, bali ni hodari na wenye hekima.
 
Sasa Tulia si yupo ?

Nyie mpaka akili ziwakae sawa. Mnakaa na watu wa Kilimanjaro, lakini mnachukua ujinga badala ya kuchukua fursa zinazojitokeza. Mtu kama Dr. Tulia kutokea huko kwenu Mbeya, itachukua muda mrefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…