Misibani wakati mwingine waombolezaji huenda na yao vichwani, hata huku mitaani tu wakija kwenye msiba wenu lazima umbea upigwe.
Kama sio watoto wa marehemu kila mmoja kwa nafasi yake kujadiliwa, basi lazima hata nyumba yenu kama haijakarabatiwa muda mrefu igeuke topic, wakati wengine wao utakuta wanaishi kwenye mbavu za mbwa.
Wengine watajidai kuwapikia wafiwa, kumbe ndio wanatafuta gap la kuiba mchele waende nao makwao, ukifiwa uswahilini jiandae kuwa na roho ngumu sana, waliokuja kukupa pole wanaweza geuka ndio wanaongeza machungu kwa wafiwa, usiwaamini.
Sent from my SM-G900H using
JamiiForums mobile app