Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Shaka amemezwa au haamini kwamba yeye kazi yake ni uenezi wa chama badala yake amegeuka kuwa msemaji wa Serikali. Anatumia muda mwingi kusifia sifia tu, sifa zikizidi unakuwa utoto na ni ukurung'unzu!
Ni hatari kwa sababu Shaka unatakiwa kuionyesha Serikali matobo yanavuja, ili CCM iyafanyie kazi , kazi yako sio kusifia sifia tu!
Polepole alisahau kazi yake ya uenezi akawa debe la kumsifia mwendazake!