Uchaguzi 2020 Nape Nnauye ateuliwa kuwania Ubunge jimbo la Mtama peke yake baada ya wagombea wengine kukosa baadhi vya vigezo

Uchaguzi 2020 Nape Nnauye ateuliwa kuwania Ubunge jimbo la Mtama peke yake baada ya wagombea wengine kukosa baadhi vya vigezo

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
APITA BILA KUPINGWA UBUNGE MTAMA Lindi:

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mtama, mkoani Lindi, Samuel Warioba Gunza, amemtangaza Nape Nnauye mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa mgombea pekee wa jimbo hilo.
Nape umevuna uvumilivu ulioupanda. Pamoja na misukosuko uliyopitia ndani ya chama, lakini ulitulia na kuwa mwaminifu kwa chama chako. Hongera kwa ushindi pasipo kelele za vyura.
 
Nape umevuna uvumilivu ulioupanda. Pamoja na misukosuko uliyopitia ndani ya chama, lakini ulitulia na kuwa mwaminifu kwa chama chako. Hongera kwa ushindi pasipo kelele za vyura.
unafki umemsaidia, unadhani nje ya siasa kuna jambo gani anaweza kufanya ili aishi?!.
 
Hivi Zitto si katamba juzi tu kuwa majimbo yote Lindi wanabeba na kuwa Nape ameshapaniki?!?
Nilimsikia akisisitiza majimbo yote ya lindi CCM hakiwezi shinda hata jimbo moja, Sasa ajitokeze huko alikojichimbia aseme kumetokea nini? Inashangaza siasa za kilaghai kama za ZZK kuwaaminisha Umma kwamba wako vizuri kumbe utopolo tu!
 
Back
Top Bottom