Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Bao la MKONO.Nape Nnauye apita bila kupingwa jimbo la Mtama
Sikuiona hiyo mkuu, Shukrani.CCM 3: Upinzani 0
Mtama, Ruangwa, Morogoro Mjini
Nape umevuna uvumilivu ulioupanda. Pamoja na misukosuko uliyopitia ndani ya chama, lakini ulitulia na kuwa mwaminifu kwa chama chako. Hongera kwa ushindi pasipo kelele za vyura.APITA BILA KUPINGWA UBUNGE MTAMA Lindi:
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mtama, mkoani Lindi, Samuel Warioba Gunza, amemtangaza Nape Nnauye mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa mgombea pekee wa jimbo hilo.
Huo ni ushindi?Nape umevuna uvumilivu ulioupanda. Pamoja na misukosuko uliyopitia ndani ya chama, lakini ulitulia na kuwa mwaminifu kwa chama chako. Hongera kwa ushindi pasipo kelele za vyura.
unafki umemsaidia, unadhani nje ya siasa kuna jambo gani anaweza kufanya ili aishi?!.Nape umevuna uvumilivu ulioupanda. Pamoja na misukosuko uliyopitia ndani ya chama, lakini ulitulia na kuwa mwaminifu kwa chama chako. Hongera kwa ushindi pasipo kelele za vyura.
Mpaka sasa CCM 2 - 0 Upinzani
CCM 3: Upinzani 0
Mtama, Ruangwa, Morogoro Mjini
CCM 9 Upinzani 0
1.Misungwi,
2.Ruangwa,
3.Ushetu,
4.Morogoro Mjini,
5.Mvomero,
6.Kilosa,
7.Mtama,
8. Gairo
9. Ludewa
Sikuiona hiyo mkuu, Shukrani.
Nilimsikia akisisitiza majimbo yote ya lindi CCM hakiwezi shinda hata jimbo moja, Sasa ajitokeze huko alikojichimbia aseme kumetokea nini? Inashangaza siasa za kilaghai kama za ZZK kuwaaminisha Umma kwamba wako vizuri kumbe utopolo tu!Hivi Zitto si katamba juzi tu kuwa majimbo yote Lindi wanabeba na kuwa Nape ameshapaniki?!?
Hivi bado unawaamini Hawa jamaa? Wanawaaminisha nyumbu eti watashinda. Utaona CDM watakuwa watatu tu.Hivi Zitto si katamba juzi tu kuwa majimbo yote Lindi wanabeba na kuwa Nape ameshapaniki?!?