Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Wameshaanza kuwa wadogo kama piriton. tukiwaambia siasa hawazijui hawaelewiHivi bado unawaamini Hawa jamaa? Wanawaaminisha nyumbu eti watashinda. Utaona CDM watakuwa watatu tu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Kupanic ndio hizo figisu mkuu....... Kule Lindi na Mtwara ccm haitakiwi ktk kila kijijiHivi Zitto si katamba juzi tu kuwa majimbo yote Lindi wanabeba na kuwa Nape ameshapaniki?!?
Sioni faida ya kuwa na wabunge wa CCM! Hata sijui huwa wanafanya nini pale bungeni....!.
Kwa kuwa unaishi mbinguni kusiko na vyombo vya usafiri, huduma za afya wala ulinzi.Sioni faida ya kuwa na wabunge wa CCM! Hata sijui huwa wanafanya nini pale bungeni....!.
Jaduong sio ushindi? Nani atatangazwa kushinda?Huo ni ushindi ?!
Kambi za magaidi. Wanafiki wakubwa nyie. Ueni na mwaka huu.Kupanic ndio hizo figisu mkuu....... Kule Lindi na Mtwara ccm haitakiwi ktk kila kijiji
Kumbuka hajachaguliwa na wapiga kura!Nape umevuna uvumilivu ulioupanda. Pamoja na misukosuko uliyopitia ndani ya chama, lakini ulitulia na kuwa mwaminifu kwa chama chako. Hongera kwa ushindi pasipo kelele za vyura.
CCM 9 Upinzani 0
1.Misungwi,
2.Ruangwa...
Kazi kuu ya wabunge wa ccm bungeni ni kuitetea serikali na kutunga sheria za kuwakandamiza wanyonge a.k.a malofa na wapumbavu.Sioni faida ya kuwa na wabunge wa CCM! Hata sijui huwa wanafanya nini pale bungeni....!.
Kuna kukata rufaa usubirieCCM=9 & UPINZANI=0.
kwa hali hii kuna kushinda uraisi kweli ? Naona ndoto za mchana hizi duuuuh
Hivi bado unawaamini Hawa jamaa? Wanawaaminisha nyumbu eti watashinda. Utaona CDM watakuwa watatu tu.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
.Kupanic ndio hizo figisu mkuu....... Kule Lindi na Mtwara ccm haitakiwi ktk kila kijiji