Uchaguzi 2020 Nape Nnauye ateuliwa kuwania Ubunge jimbo la Mtama peke yake baada ya wagombea wengine kukosa baadhi vya vigezo

Najua itakuwa ngumu kuamini ila ndo ukweli.
Wakati ninyi mnapiga kelele humu wenzenu wanapanga mipango ya kuchukua majimbo.
Wana kaa na NEC wanapanga sheria zao wanazo jua wao.mwisho wa siku wanachukua majimbo KIULAINI
Kanywe chai kwanza...au bado hujapewa coupon hapo canteen Lumumba?

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Mnapoteza muda, sheria ikichukua mkono wake ushindi wote huo unapanguliwa
 
Kweli ccm haibaliki kwan miaka mi5 ilopita walikuwa huru wakifanya siasa sasa kumbe bado hawajihamini.

Akseh kulazimishwa kupendwa wakati hupendwi ni dhihaka, aibu na kitendo cha kipuuzi mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…