Nape kwani nawe unahusikaje kwenye hili sakata!
Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba....
Kweli kabisa. Walikuwa wanajadili penalt za Simba
Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba...
Waswekwe ndani
Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba...
Huyu waziri atambue atasimama nyuma ya nondo kwa mashitaka ambayo hajawahi kuyaota kumtokea
Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba wa uwekezaji ...
Anadhani kila goli hufungwa kwa mkono.Maisha ya watu siyo punyeto!Hapo yeye amezungumza kama nani labda?
Nape tumbo tumbo halina akili,mkuu wa mkoa Chalamila anasema wamekamatwa kwa kukosoa bandari,yeye anakuja na kipeperushi cha kujitetea na kumsagia kunguni utawala wa JPM.
Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba...
Viongozi wanaendesha nchi kwa mizukaLeo wote tumeshuhudia akina Mwambukusi wakioata dhamana na kwenda majumbani kinyume na Ile barua yenye grammar za kutatanisha. Sijamsikia Tena ndugu yangu nape akisema kitu
Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
Na huyo kajambanani angeipata vipi?Katika dunia hii hakikisha unakuwa maarufu by any means...kesi hiyoo kajambanani asingetoka...
Uamusho unawafaham???Na huyo kajambanani angeipata vipi?