Nape Nnauye: Hakuna Mtanzania amekamatwa kwa kukosoa Mkataba wa Bandari

Nape hajui kuandika kingereza kabisa hata kile hajaandika yeye
 
Polisi wawakazie wanasiasa,kua kazi yao haihusiani na siasa,wao kazi yao ni kulinda raia na mali zao tu.
Sio kwa WAMBURA na mzee wa GPO zee la kwenda kukojoa KINGAI.
 
Huyu asipotimuliwa nitashangaa sana ! na nitajua kweli uchawi upo .
 
Ukamataji ni biashara za watu ili wapige Hela zetu kwa kuongeza sifuri kwenye geresheo la gharama za ukamataji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…