Nape Nnauye kama January Makamba, maji ya shingo yamfika. Amuangukia Rais Magufuli baada ya kumnanga

Baba, magufuli nakuomba Sana Sana hao watu wanaojitokeza kukuomba msamaha uwasamehe Lakini usiwasahau baba samehe Lakini usisahau kuwa walikutukana na kukudhalilisha, hao hawafai hata chembe usije ukawasahau Baba wakipata chance tu watakutukana tena, wamekwama ndio maaana wanatapatapa baba, wao ni watu wazima tena wasomi wametenda wakijua kuwa ni kosa, hao sio watoto wadogo Baba hao ni wahujumu uchumi baba usiwasogeleee wala kuwashika mkono Baba wanaweza wakawa wamejiweka sumu mkononi wakakushika wakaondoka na wewe baba.

Tafadhali hao wasisogeleee hata ofisi za Ccm au za serikali wanaweza kuwa wanatumia mbinu Ya kuomba msamaha kumbe wanataka kukudhuru
 
Kina Wema na wana CCM wengine walipopokelewa kama dhahabu na kuwekwa meza za mbele wakae na kina mwenyekiti hawakupokelewa na chama cha upinzani ehe? Endeleeni kufanywa choo cha watu wenye matumbo yalichafuka tu.
 
Wanasiasa sio watu wa kuwaamini, alivyokua anaongea vile kwenye simu sijategemea kumuona akiomba msamaha
Wewe unaweza kugombana/kumtukana na baba yako huku ukiendelea katika Nyumba yake?

Unadhani Yeye hapendi marupurupu ya kisiasa?

Siasa Ni ajira siasa Ni fursa.
 
Huyu ameona kwa manufaa ya tumbo lake
 
Kina Wema na wana CCM wengine walipopokelewa kama dhahabu na kuwekwa meza za mbele wakae na kina mwenyekiti hawakupokelewa na chama cha upinzani ehe? Endeleeni kufanywa choo cha watu wenye matumbo yalichafuka tu.

Katafute siku niliunga mkono hao wahuni kupokelewa na cdm kuanzia Lowasa mpaka kundi lake.
 

Akili matope ndo hizi...mtu akimtukana Magufuli anakuwa 'mhujumu wa uchumi'?
 
ccm bwana wanatengeneza matukio,wewe ongea mimi nitakudukua halafu nitarelease mitandaoni baada ya muda njoo uombe msamaha ili tuonekane ni wema,wewe kwa kuomba msamaha mimi kwa kusamehe πŸ˜‚πŸ˜‚
Nalog off
 
Kuna kuomba msamaha na kuna kusamehe...
kitendo tu cha kuomba msamaha mbele ya TV ni kuzidi kudhalilishwa

mioyo ingekuwa ina vioo tungeona mengi ya ajabu...

mtu akikushikia bunduki lazima umuombe msamaha na wala sio lazima umaanishe
Mamlaka......tafakari....si kitu cha mchezo.
 
Wewe ndiyo atakaye tuma kama choo kwa buku saba.majority wa supporter wa opposition angalau wana life lakini % kubwa ya washsbiki wa Magu hawajielewi isipokuwa wale wachache sana wanaonufaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…